Msaada: Namna ya kufika Kunduchi beach KKKT, natokea Tabata

Msaada: Namna ya kufika Kunduchi beach KKKT, natokea Tabata

Panda daladala za makumbusho au mawasiliano halafu chukua daladala za Kunduchi, shukia kituo cha mtongani kona au visiwa, kanisa lipo katikati ya hivyo vituo viwili.

Angalizo : daladala za Kunduchi zipo chache mawasiliano ukilinganisha na makumbusho
Nashukuru Mkuu, barikiwa sana.
 
Panda gari za tabata ubungo Mawasiliano, ,, ukifika ubungo Mawasiliano panda gari za kwenda KUNDUCHI pwani, , usipande za ununio ,, then utawaomba wakushushe kanisani karibu na shule ya mtakuja pale,,,, kitambo nilikuwa nakaa kule aisee,,,, enzi za Mkuu wa kambi kanali mtonga
Nashukuru sana Mkuu.
 
Back
Top Bottom