Tukumbushane 'vibao' vilivyovuma Afrika enzi zileee | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tukumbushane 'vibao' vilivyovuma Afrika enzi zileee

Discussion in 'Entertainment' started by Ibrah, Feb 24, 2012.

 1. Ibrah

  Ibrah JF-Expert Member

  #1
  Feb 24, 2012
  Joined: Mar 22, 2007
  Messages: 2,721
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Enzi zile, miongo miwili mitatu ilopita, tulikuwa na Radio moja tu; RTD ilokuwa na Idhaa ya Biashara, Idhaa ya Taifa na External Serive (kimombo). Ilikuwa rahisi sana kujua miziki ilovuma maana hakukuwa na redio nyingi.
  Tujikumbushe miziki ya Afrika ilovuma wakati huo. Leo nimekumbuka 'Whisky Soda' jamaa wanasifia pombe na kuimba kama mlevi. Ulipigwa Guinea miaka ya 80 na ulipigwa sana RTD. Baadhi ya maneno ni haya ;
  'mano mambo, mano wee, mano wisky soda, mano wee!,
  Balantanda na Baba Enock, mpoo?
   
 2. Ibrah

  Ibrah JF-Expert Member

  #2
  Feb 24, 2012
  Joined: Mar 22, 2007
  Messages: 2,721
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Kuna kibao kinaitwa AZA cha TP OK Jazz; wimbo huu hauchuji hata ukipigwa leo vijana watesema ni mpya.
  'Ewe x 3, komonela Aza, Aza kombo yamisa...' Ktk wimbo huu sauti ya Franco Luambo Luanzo Makiadi imetulia sana, trumpets zimetawala wimbo huu.
  Nikisikia wimbo huu inanikumbusha enzi za shule ya msingi tulipokuwa tunashindana kuimba nyimbo zilizovuma wakti huo.
   
 3. S

  Simbamwene JF-Expert Member

  #3
  Feb 24, 2012
  Joined: Jun 22, 2008
  Messages: 287
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Embakasi - Les Mangelepa.
   
 4. StaffordKibona

  StaffordKibona JF-Expert Member

  #4
  Feb 24, 2012
  Joined: Apr 21, 2008
  Messages: 671
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Enzi za Externa Service wakati wa kipindi cha From me to you wimbo uliovuma sana toka kwa Osibsa ulikuwa sunshine day, whiy na Happy children, Hijack na Woman za Barabas,
   
 5. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #5
  Feb 24, 2012
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,635
  Trophy Points: 280
  Kuna wimbo wa Bibie Marehemu Abeti Masikini 'Likayabo Wali na sombee" huu wimbo kila nikiusikia hata kama nimetumwa dukani ilikuwa lazima nisitishe shughuli zangu zote hadi umalizike.
   
 6. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #6
  Feb 24, 2012
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,635
  Trophy Points: 280
  Kuna wimbo mwingine jina limenitoka uliimbwa na wana muziki nguli wa Afrika kipindi hicho kwaajili ya kuchangisha fedha za kusaidia janga la njaa Ethiopia.Kuna ubeti uliimbwa kwa kiswahili 'Tunaimba sikitiko moyoni eheee.
   
 7. zaratustra

  zaratustra JF-Expert Member

  #7
  Feb 24, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 852
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 45
  Mimi ninazikumbuka sana hizi:
  1. Nyako Konya-(Orchestra Mazembe)
  2. Kamiki-Orchestra Veve (Sina Hakika)
  3. Mikolo Mileki Mingi-Orchestra Veve (Sina hakika)
  4. Afrika Mokili Mobimba-Afrisa International
  5. Kimpa Kisangameni-Franco
  6. Mado-Franco
  7. Mario-Franco
  8. Nakei Nairobi-Mbillia Bel
  9. Bassala Hot-Osibissa
  10. Vivi-Fauvette
  11. Franciska-Fauvette

  Nikikumbuka nyingine nitaziweka hapa!
   
 8. aikaruwa1983

  aikaruwa1983 JF-Expert Member

  #8
  Feb 24, 2012
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 1,362
  Likes Received: 1,189
  Trophy Points: 280
  acha kbs Ngongo umenikumbusha far
  naalia kwetu we.....ka pili pili ma na ka lo chumvi ma inakolea ko shingo.........haki ya Mungu siku ikifika!!!!
   
 9. aikaruwa1983

  aikaruwa1983 JF-Expert Member

  #9
  Feb 24, 2012
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 1,362
  Likes Received: 1,189
  Trophy Points: 280
  candidat na bisso mobutu - franco
   
 10. m

  mchajikobe JF-Expert Member

  #10
  Feb 24, 2012
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 2,407
  Likes Received: 685
  Trophy Points: 280
  Duu,wakongo noma yaani africa waliiteka wao tuuu!!!
   
 11. m

  mchajikobe JF-Expert Member

  #11
  Feb 24, 2012
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 2,407
  Likes Received: 685
  Trophy Points: 280
  "Masuudiii amekuwa jambaziii ukikutana naye usikuuu umpittie mbaaliiii,ama siiivyoo atakudhuru babaaaa"sijui umeimbwa na nani!!!!
   
 12. edwinito

  edwinito JF-Expert Member

  #12
  Feb 24, 2012
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 211
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Huyo ni Marijani Mwana wa Rajabu, Jabali la Muziki!

  Akiwa Safari Trippers alikuwa na hizi:

  1. Hanifa
  2. Salama

  Hii Hanifa inanikumbusha enzi hizo tunaishi Ilala Flats, ilikuwa ikipigwa mida ya mchana (kipindi mchana mwema), ilikuwa patashika kwenye ngazi! Tulikuwa tunakimbilia ndani kwenda kuisikiliza!!"...........Baba na mama yako pamoja na wandugu, pia nao hawakutahmini tena Hanifa, Oh bwana huna, huna, hakutaki tena......." Ilikuwa raha sana, wajameni mwee!
   
 13. Mimibaba

  Mimibaba JF-Expert Member

  #13
  Feb 24, 2012
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 4,566
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Hiyo hapo
   

  Attached Files:

 14. Mimibaba

  Mimibaba JF-Expert Member

  #14
  Feb 24, 2012
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 4,566
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
 15. StaffordKibona

  StaffordKibona JF-Expert Member

  #15
  Feb 24, 2012
  Joined: Apr 21, 2008
  Messages: 671
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  In red ni Orch Veve na namba 2 ni Orch Kiam
   
 16. StaffordKibona

  StaffordKibona JF-Expert Member

  #16
  Feb 24, 2012
  Joined: Apr 21, 2008
  Messages: 671
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Engunduka ya Orch Veve
   
 17. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #17
  Feb 24, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,482
  Likes Received: 5,862
  Trophy Points: 280
  Ni AZDA sio AZA......Na ni VEWE(VW-Volkswagen) sio EWE....

  Franco alimuimbia AZDA aliyekuwa agent wa VW Zaire baada ya kuwazawadia wanamuziki wote wa TP OPK Jazz BEETLE mpyampya......hawa hapa wakiwa AVENUE USENGE, KINSHASA

  [​IMG]
   
 18. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #18
  Feb 24, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,482
  Likes Received: 5,862
  Trophy Points: 280
 19. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #19
  Feb 24, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,808
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Dah! Umenena Kiongozi..

  Hii nyimbo alikuwa anaipenda sana Baba yake baba_enock ...!

  Hii Imeimbwa nadhani kwenye early 70s, maana miaka 73 hii ilikuwa "Hit"...!

  Iliimbwa na La Guinee - Bembeya Jazz National ...!
   
 20. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #20
  Feb 24, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,482
  Likes Received: 5,862
  Trophy Points: 280
  Camara Mousa as lead vocal........nice song
   
Loading...