Recent content by Edger ngassa

  1. Edger ngassa

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    kampuni gani hii
  2. Edger ngassa

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa hivi wanapatikana mkoa gani?

    Sumbawanga
  3. Edger ngassa

    JamiiForums Tanzania Ha tunnel plus imegoma anayeweza kuirudisha

    Nichek Dm Nikupe
  4. Edger ngassa

    JamiiForums Tanzania Ha tunnel plus imegoma anayeweza kuirudisha

    File ipo imepatikana
  5. Edger ngassa

    JamiiForums Tanzania Ha tunnel plus imegoma anayeweza kuirudisha

    Hiyo apo
  6. Edger ngassa

    JamiiForums Tanzania Ha tunnel plus imegoma anayeweza kuirudisha

    Anaye Hitaji Hat File Vodacm Na Halotel Aje Dm
  7. Edger ngassa

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    Nichek 0624059384 from sumbawanga
  8. Edger ngassa

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Option hii inaitwaje mkuu
  9. Edger ngassa

    JamiiForums Tanzania Ommy Dimpoz huwa ni msanii mkali

    Chukua time inaitwa
  10. Edger ngassa

    JamiiForums Tanzania Ushawahi zimikiwa na jiko la gesi ukiwa unapika?

    Kuna siku nimekata nyanya vitungu karot na pili pil hoho vzur nmeweka kwny sahani kwa ajiri ya kuunga nmeweka mafuta kwny sufuri inachemka ghafla ges imekata afu mtung mkubwa nkaishiwa poz ikabid nmwage kila kitu jiko la mkaa nlikuwa sina
  11. Edger ngassa

    JamiiForums Tanzania Maombi juu ya EX

    Siku ya leo katika pitpita zangu nkasikia binti ananita ile kugeuka nkakutana na binti ambaye nishawah kuachana naye miaka miwili ikiyo pita chanzo cha kuachana binti alikuwa mwanafunzi form 4 walipanga njama na wazazi wake binti ajfanye ana mimba yangu wakafungua kesi ya kumpa mimba mwanafunzi...
  12. Edger ngassa

    JamiiForums Tanzania Kuna “star” Bongo amekushawishi kutumia bidhaa anayotangaza?

    Mo Faya Ya Alikiba Hakika nmekunywa sana
  13. Edger ngassa

    JamiiForums Tanzania Hongera jeshi la polisi kufanikiwa kupata simu yangu S10+ ndani ya 24 toka imeibwa

    mm pia nlibiwa samsang A10 mwizi tumemkamata anadai yeye aliuziwa simu police wanasema kunipa simu mbk wamkamate aliye muzia simu huyu jamaa ko simu wamebak nayo wamegoma kunipa
  14. Edger ngassa

    JamiiForums Tanzania Harmonize akamshikati Mbosso sababu ame-sample biti yake ya Show Me bila kibali kwenye baikoko

    kufanana Zinafanana Producer Kaishiwa Hana Ubunifu Lizer Hata Ukisikiliza Teamo Ya Rayvanny Na Number One Ya Rayvanny Na Zuchu Utagundua Biti Ni Moja
Back
Top Bottom