Edger ngassa
JF-Expert Member
- Jun 25, 2015
- 294
- 239
File ipo imepatikanaDuu wadau waje watueleze wana mbadala gani mwingine
File ipo imepatikanaDuu wadau waje watueleze wana mbadala gani mwingine
Yanafanya kaziFile ipo imepatikanaView attachment 1844035
Wamenyooshwa tena sana tuHaya naona now mtakuwa mmeridhika ISP walivowafungia.
Acha utani basi. Weka file basi tupambane naloFile ipo imepatikanaView attachment 1844035
Siyo makampuni ya simu tu tuilaumu serikali kila mara vyanzo vya kote wanaongeza kwenye vile vile. Na sasa wameongeza kodi ya uzalendo wakipunguza bundle ama kuongeza gharama tutalalamikia mitandao ya simu tunasahau kuwa serikali ndiyo inaongeza kodi. Hivi unakumbuka vifurushi vilivyokkuwa bei chee na magb ya kutosha mwaka 2014 kurudi nyuma kabla ya TCRATunahujumu makampuni na wao nani huwa anawahoji wanavyo tuhujumu na kutudhulumu? 1gb nchi kama India ni 150Tsh huku ni bei gani?
Watu wengi mnashindwa kuelewa kuwa kuziba loopholes hawajaanza leo wala jana ni mwendelezo na upenyo mwingine utapatikana
Nichek Dm NikupeNaifuta hio apk
tafuta ela kijanaWale wanangu wa ha tunnel now inafailed kuconnect wataalam wa hì kitu tunasolve vp tuendelee kuinjoy
Sijasema naitafuta Bali naifutaNichek Dm Nikupe
Shida humu kuna snitch atatokea na kutuma email kwenye kampuni husika 😅😅😅 ndio jinsi ambavyo wabongo wana roho za kichawiWbongo tulivyo Hata Guru tulikua tunakula maisha ila mabango yakawa mengi tukafungiwa
Mkuu voda inakubali?Amkeni amkeni wadau wa voda wanaitandika huko.
Inakuwaje hapaAmkeni amkeni wadau wa voda wanaitandika huko.
Ila na wao wameumiaVoda wamekula kichwa leo
Kipindi mnatumia hamukutudokeza ili goma ndo mnajua na sisi tupoWale wanangu wa ha tunnel now inafailed kuconnect wataalam wa hì kitu tunasolve vp tuendelee kuinjoy