Ha tunnel plus imegoma anayeweza kuirudisha

Ha tunnel plus imegoma anayeweza kuirudisha

Mkuu kwenye mfumo wa oligopoly anaepanga bei ni mamlaka, na ukanda wetu huu sisi tuna vifurushi bei rahisi sana. Unaona bei ghali sababu huna internet ya nyumbani.
Unachomoa 2000 gb 3 afu saa 24 kwanini wasiweke hata wiki au mpaka kiishee

Kwani ukinunua menu kwa mamantilie anakupa muda wa kula si ww ule mpaka umalize au ufunge uondoke nacho


Tz ndo hiii
 
"UNAONA BEI GHALI SABABU HUNA INTERNET YA NYUMBANI"

Sijaelewa Hii sentensi Mkuu, naomba unisaidie kuelezea kidogo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii mitandao ya simu tech zake si kwa ajili ya mambo mazito, chukulia mfano movie ya 4k, inaweza kula GB 10 mpaka 50, utaunga kifurushi gani ku Angalia Netflix 4k? Hakuna.

Nchi zilizoendelea mitandao ya simu unatumia internet yake unapokuwa nje ya ofisi ama nyumbani, nyumba zinakua na internet za waya ama wifi, internet hizi zinakua unlimited unachagua tu speed unayotaka.

Kwa Tanzania mjini tayari Kuna makampuni kama zuku wanatoa hii huduma, mfano kariakoo majority ya maduka sasa hivi wameweka Zulu, unakuta jengo lina maduka 5 wanaweka kifurushi cha 100k cha 50mbps wanachanga 20k kila duka, average kila mtu anapata 10mbps unlimited. Mtu kama huyu hatalalamika internet ghali.

Ikienea sasa Tanzania nzima utakuwa kila technology unaitumia ipasavyo.
 
Unachomoa 2000 gb 3 afu saa 24 kwanini wasiweke hata wiki au mpaka kiishee

Kwani ukinunua menu kwa mamantilie anakupa muda wa kula si ww ule mpaka umalize au ufunge uondoke nacho


Tz ndo hiii
Mkuu wa naweza kufanya hivyo ila haitakuwa tena 2GB, hio ni rules kote duniani utaikuta. Kifurushi Kikiwa cha muda mrefu kinakuwa kidogo na Kikiwa cha muda mfupi kinakuwa kikubwa.
 
Tunahujumu makampuni na wao nani huwa anawahoji wanavyo tuhujumu na kutudhulumu? 1gb nchi kama India ni 150Tsh huku ni bei gani?

Watu wengi mnashindwa kuelewa kuwa kuziba loopholes hawajaanza leo wala jana ni mwendelezo na upenyo mwingine utapatikana
Acha fix wewe...1gb India sh ngapi vile??
 
Endeleen kupata vitu na kuvisambaza , host imefungwa akuna namna kanunue bando ,wabongo mkipewa kitu kazi kujifanya unajua ,kitendo cha kuelezea hapo hayo mambo ni illegal mmeyahujum makampuni kwa mda mrefu,mfate aliekupa akueleze namna ya kusolve
Wabongo nuksi sana.
Imefikia hatua wanauza Hat files kama karanga vile wakati ni magendo.

Kwa sasa mitandao iliyobaki ni miwili tu na Hat files zake ninazo na sitazitoa kamwe
 
Wabongo nuksi sana.
Imefikia hatua wanauza Hat files kama karanga vile wakati ni magendo.

Kwa sasa mitandao iliyobaki ni miwili tu na Hat files zake ninazo na sitazitoa kamwe
Sorry mkuu ukiwa na file valid la Hat na hauna MB kwenye simcard unaweza kukonnect Hat na ukaingia mtandaon Kama kawaida?
 
Sorry mkuu ukiwa na file valid la Hat na hauna MB kwenye simcard unaweza kukonnect Hat na ukaingia mtandaon Kama kawaida?
Ndivyo inavyopaswa kuwa.
Hupaswi kuwa na mb hata 1.
Washa data, washa Ha tunnel
Ingia mitandaoni, waambie umenunua data za milioni 1
 
Hata anayetengeneza hizo .ha files alipost hadharan tena free. Sa iweje watumiaji wasipost hadharan? Mbaya ni hao wanaouza

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu kwenye mfumo wa oligopoly anaepanga bei ni mamlaka, na ukanda wetu huu sisi tuna vifurushi bei rahisi sana. Unaona bei ghali sababu huna internet ya nyumbani.
Need more info hapa kama una muda nipe muongozo mzuri
 
Anaye Hitaji Hat File Vodacm Na Halotel Aje Dm
20210706_151325.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom