Recent content by Edc Tz

  1. Edc Tz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Google payments via western union

    Malipo ya mwezi wa ngapi ndugu Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Edc Tz

    JamiiForums Tanzania Mijadala ya Mawazo na Michanganuo mbalimbali ya Biashara na Uchumi kwa Ujumla

    Asante kwa wazo Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Edc Tz

    JamiiForums Tanzania Mijadala ya Mawazo na Michanganuo mbalimbali ya Biashara na Uchumi kwa Ujumla

    Wadau naomba ushauri kwa mtaji wa laki mbili naweza Fanya kitu gani ili niweze kukidhi mahitaji mbalimbali katika maisha, eneo nililopo ni Mara-Tarime. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Edc Tz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Miwani ya kuvaa wakati wa kutumia Computer

    Computer za sasa hazina madhara sana kwa macho. Epuka yafuatayo, kuongeza brightness mpaka mwisho ukiwa ndan ya chumba chenye mwanga hafifu au giza kabisa yaani unazima taa af unaongeza mwanga wa computer yako sana hiyo ina madhara Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Edc Tz

    JamiiForums Tanzania TANZIA Msanii Golden Jacob Mbunda(Godzilla) afariki dunia

    Za Kweli kabisa Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Edc Tz

    JamiiForums Tanzania TANZIA Msanii Golden Jacob Mbunda(Godzilla) afariki dunia

    Mkali wa Hiphop na Freestyle Godzilla amefariki usiku wa kuamkia leo tar 13/2/2019. Alikua amelala kwake umauti ukamkuta Ghafla. Taarifa zaidi zitaendelea kutolewa. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Edc Tz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bongo hiphop mistari ninayoikubali

    Usiulize ni lini, ni wapi , saa ngapi, ili iweje, Hizi ni propaganda utaibiwa ukicheza branda, Yule last King wa Scotland sio Idd Amin wa Uganda. Fid Q. Propaganda Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Edc Tz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bongo hiphop mistari ninayoikubali

    Unamaanisha Hidary Scoda mkali wa freestyle, ofcoz alishawahi kuimba hizo verse kwenye kumi za maangamizi Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Edc Tz

    JamiiForums Tanzania I am looking for a job

    Okey I didn't mean job related to the field of law, no a word legal in kiswahili 'halali' Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Edc Tz

    JamiiForums Tanzania I am looking for a job

    Hi guys I am a university graduate, with a bachelor degree in special needs education. I am looking for any legal job wherever. I have skills in computer and fluent in English and Kiswahili. Thank you Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Edc Tz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania JINSI ULIVOFUMANIWA NA MCHEPUKO

    Jamani wale wachepukaji tupeane stories jinsi gani ulivowahi kufumaniwa na mkeo/mumeo au mpenzi wako. Karibunii. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Edc Tz

    JamiiForums Tanzania Nahitaji notes jamani nzuri za Biology (A level)

    Nakutumia PM
  13. Edc Tz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Chid Benz Amebaki na Kipaji ila tatizo nyota

    Ana kipaji kila mtu anafahamu hilo na akipanda jukwaani watu wanaelewa this is King Kong mtoto wa Ilala anaisimamisha DSM kweli, lakin nyota yake imefifia kwa sasa.
  14. Edc Tz

    JamiiForums Tanzania VVU na UKIMWI: Historia yeke, chanzo cha maambukizi, dalili, kinga na juhudi za kupambana na ugonjwa huu

    Yaap always success comes when you invest all of your time katika kitu kimoja na ukaweka bidii usiwe na mipango mingi zote zitafeli
  15. Edc Tz

    JamiiForums Tanzania Mapokezi ya Diamond Platnumz Mombasa ni kufuru

    Team Chid Benz tunakoment wapi
Back
Top Bottom