Nahitaji notes jamani nzuri za Biology (A level)

Nahitaji notes jamani nzuri za Biology (A level)

gift jimmy

Member
Joined
Jan 6, 2015
Posts
8
Reaction score
0
Habari wana JF , naomba mwenye notes za Biology A level( topics zote) ani pm au mwenye kujua wapi zapatikana anijuze plz ....its urgent
 
Mkuu, nakushauri ingia mtandaoni tafuta kila kitu kinapatikana hata notes za chekechEa ukitaka,
 
Asante ndugu , mwalimu yeyote mwenye notes , esp hard copy niweze kutoa copy
Biological Science ndo kitabu cha kusoma,then Guide to Dissection cha H G Q ROWETT na Plant and Animal Biology cha A E Vines &N Rees...ukifeli mtihani kwa hivo vitabu kutakuwa na tatizo jingine
 
hahahahhhhhh notes za bios tena!!! ila google ni kila kitu mkuu. hakuna bios ya uk na ya Tz zote sawa. hata vitabu vingi tunavyotumia vimetoka nje. dont narrow ua thinking capacity!!!!
 
Mtandaoni nimetafuta am worried naweza kupata tofauti na mtaala wa Tanzania , mtandaoni napata za Cambridge tuu

mtandaoni umetafuta then ua worried!!!! be specific!!! ingiza mtandaoni in topic wise!!!! kama genetics. ingiza iyo step kwa step. is better ungekuwa na syllabus yote ya bios
 
ww ni mwalimu unatafuta notes ila ungetaja eneo ulilopo mana wengine tunazo
 
Anaetaka notes za sekondari kuanzia form one mpaka five ambazo zimeandaliwa kufuatana ns mtaala wa Tz, lakin za six bado hazijawekwa ukihtaj ni pm ingia hapa RAJ MPELLA BLOG Au nichek watsap 0759146185
 
Mtandaoni nimetafuta am worried naweza kupata tofauti na mtaala wa Tanzania , mtandaoni napata za Cambridge tuu
Chukua za mitandaoni ila tafuta syllabus. Nikipata bando ntakutumia soft copy ya syllabus NiPM neno syllabus ili nikuweke kwenye kumbukumbu.
 
ACHA UVIVU SOMA VITABU..!!:A S embarassed::A S embarassed:

Biological Science ndo kitabu cha kusoma,then Guide to Dissection cha H G Q ROWETT na Plant and Animal Biology cha A E Vines &N Rees...ukifeli mtihani kwa hivo vitabu kutakuwa na tatizo jingine

Labda kama anavyo lakini nakubaliana nanyi ya kuwa kwanza angetafuta vitabu vizuri, asome na andike notes zake. Kama ana wasi wasi baadae alinganishe alicho andika na hizo za wenzake. Kuruka hatua hizi hufanya somo lisikae vizuri sana kichwani. Bahati mbaya hadi chuo kikuu watu hawataki kusoma vitabu wenyewe wanatafuta MADESA/VITINI na kulala navyo mbele.
 
Chukua kwanza vitabu usome kama BS na Undertanding alf andaa notes zako..then baada ya hapo ndo usoma na mtandaoni.
 
Back
Top Bottom