Mijadala ya Mawazo na Michanganuo mbalimbali ya Biashara na Uchumi kwa Ujumla


M

maisory

Senior Member
Joined
Jul 6, 2018
Messages
123
Likes
50
Points
45
M

maisory

Senior Member
Joined Jul 6, 2018
123 50 45
Hbr zenu wana jf
Nina mtaji wa sh 300,000
Nataka kuanzisha bihashara
Naomba ushaur wenu nifanye bihashara gani
Mawazo yenu ni muhimu kwangu
 
fagix

fagix

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2015
Messages
635
Likes
425
Points
80
fagix

fagix

JF-Expert Member
Joined Jun 3, 2015
635 425 80
Mkuu anzisha biashara ya kuunza nguo za watoto na kina mama kama mitandio n.k itakuboost kwenye mtaji

NB. ni ushauri tu
 
Z

Zimeanza zimeanza kuota

Senior Member
Joined
Oct 1, 2018
Messages
126
Likes
80
Points
45
Age
22
Z

Zimeanza zimeanza kuota

Senior Member
Joined Oct 1, 2018
126 80 45
Nimebahatika kupata dhahabu nimeuza nikapata 25 million za kitanzania sijawahi kumiliki pesa nyingi kama hiyo hivo kwa kuhofia kulewa pesa nimeituliza bank sijajuwa nini nifanye ili niuage uchimba chumvi naombeni mawazo wakuu

Nawasilisha
MKUU SIO MBAYA UKITUPA MREJESHO ITASAIDIA MNO
 
Jay10

Jay10

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2018
Messages
228
Likes
104
Points
60
Jay10

Jay10

JF-Expert Member
Joined Jul 9, 2018
228 104 60
Wakuu, mwnye sample ya mchanganuo wa biashara (rejareja) naomba unitumie tafadhal
 
hearly

hearly

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2014
Messages
22,548
Likes
29,341
Points
280
hearly

hearly

JF-Expert Member
Joined Jun 19, 2014
22,548 29,341 280
Kaka kuchimba dhahabu kusikie tu hii kazi siyo ya sport sport nimefanya hiyo kwa miaka 5 sija fanikiwa mkuu isipokwa nilikuwa nikipata visent vya kula tu

Sasa ikatokea boss mmoja kaniamini nikawa na mnunulia hivo faida yangu nikawa na weka dhahabu mpaka kufikia hatua hii niliyo fikia sasa nahitaji kubadirisha upepo na mimi ng'ae
Kuchimba dhahabu kwa mikono ni zaidi ya mateso asikwambie mtu
 
IRINGA DECOR

IRINGA DECOR

Member
Joined
Oct 29, 2018
Messages
61
Likes
38
Points
25
IRINGA DECOR

IRINGA DECOR

Member
Joined Oct 29, 2018
61 38 25
Hello....wakuu wangu poleni na majukumu ya kila siku .... IRINGA DECOR bado tunaendelea na ofa ya furniture mbalimbali katika msimu huu wa Xmas na mwaka mpya ....tutaendelea kutuma bei zetu rafiki kwa mtanzania wa kawaida .... Zifuatazo ni bei za makabati ya jikoni( kitchen cabinets) ,zikifuatiwa na bei za milango BEI ZA KITCHEN CABINET KWA MSIMU HUU WA XMAS NA MWAKA MPYA -Mbao aina ya mninga au mkongo 940,000/=
BEI HII INAHUSISHA VITU VIFUATAVYO SIZE .Mita moja ya Kabati la chini na Kabati LA juu yote kwa pamoja , pamoja na marble **940,000/= kwa kila mita moja MDF PINE 525,000/= BEI HIYO INAhusisha mita moja Kabati LA chini na juu pamoja na marble MILANGO NA FREM ZAKE *MBAO ,MNINGA AU MKONGO 350,000/= *MBAO ..ZINGNEZO 265,000/= *JOINED BORD 325,000/= KWA HUDUMA ZA KITCHEN CABINETS TUNAKUFUATA MTEJA MPAKA ULIPO....milango tunafikisha mpaka ulipo kwa gharama zetu
KARIBUNI SANA KWA BIDHAA ZETU ZENYE UBORA WA HALI YA JUU Call/text/WhatsApp. 0657888724
Kuchimba dhahabu kwa mikono ni zaidi ya mateso asikwambie mtu
 

Forum statistics

Threads 1,250,498
Members 481,371
Posts 29,735,723