Bongo hiphop mistari ninayoikubali

Bongo hiphop mistari ninayoikubali

Usiulize ni lini, ni wapi , saa ngapi, ili iweje,
Hizi ni propaganda utaibiwa ukicheza branda,
Yule last King wa Scotland sio Idd Amin wa Uganda.

Fid Q. Propaganda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I can, you can, never say die
Up man and try
Cuz no pain na gain
By ghetto ambassador
 
Naujua mziki hommie, dat is not enough,
Ukishindwa rudi matawi ya chini omba upigwe tafu,
Discipline kuwa nayo tena maintain yourself,
Lete kiburi upewe kaburi you gonna bury yourself,
Maskani kwa amani mi na meditate,
Rule number one simple usicomplicate,
Mtaani hakuna chuo tuna graduate,
Ukinipa njia moja ya maisha mi naidublicate
..................................................................
R.I.P KINGZILLAH
 
Miaka kibao nawapa maarifa labda ubongo wao unachelewa kupeleka taarifa labda maneno yangu wataelewa siku nikifa... R.I.P KINGZILLA
 
Let's drinks up me and you cause these niggas fake and I see too..
 
Wewe ni wangu toka before wengine Nina waignore mapenzi ni marefu kama series za twenty four.
 
Ukiwa na mpango wa kando ujue basi mkeo hajui mambo...
 
Ukiwa maskini sio rahisi kuwa gentleman huwezi kumfungulia mpenzi mlango wa daladala
 
Sie wote watoto wa mjini siamini vipi hatujuani.
 
Ukikumbuka kwamba ulidata ukamuonesha uchi mkweo utamwangalia vipi Leo mmeo, by FA - Habari Ndo hiyo
 
Back
Top Bottom