Miwani ya kuvaa wakati wa kutumia Computer

ICT OFFICER

JF-Expert Member
Oct 6, 2018
236
500
Mwenye uelewa au kufahamu namna ya kupata miwani hii ya kupunguza mionzi y mwanga wakati wa kutumia computer, ili kuepusha macho kuharibukaAsanteni
 
Coolant

JF-Expert Member
Apr 19, 2015
904
1,000
Siku moja nilishauriwa na daktari mmoja hapo ccbrt kwamba matumizi ya computer za kisasa hayana madhara kwenye macho labda kama unatumia zile monitor za kizamani ambazo ukiangalia unaona mwanga wake Kama unachezacheza hivi.
 
ymollel

JF-Expert Member
Aug 23, 2012
2,627
2,000
Kama unaweka mwanga wa kiasi kwenye computer yako ya LCD/LED hakuna madhara wala huhitaji kuvaa miwani. Sasa kuna wabongo wanaweka Brightness MAXIMUM halafu wanasema hiyo ndio haiumizi macho, halafu wanasema wanakunywa maji mengi sana
 
ICT OFFICER

JF-Expert Member
Oct 6, 2018
236
500
Siku moja nilishauriwa na daktari mmoja hapo ccbrt kwamba matumizi ya computer za kisasa hayana madhara kwenye macho labda kama unatumia zile monitor za kizamani ambazo ukiangalia unaona mwanga wake Kama unachezacheza hivi.
Ahaa, asante chief
 
Mr. Mobile

JF-Expert Member
Aug 28, 2017
1,430
2,000
Mwenye uelewa au kufahamu namna ya kupata miwani hii ya kupunguza mionzi y mwanga wakati wa kutumia computer, ili kuepusha macho kuharibukaAsanteni
Hizo glass zinaitwa "Anti Blue ray Eyeglasses" haina eye prescription yoyote ile, so unaweza kuinunua na kuivaa bila kwenda kwa optometrists, zinafaa kwa watu ambao wanaangalia movie kwa muda mrefu, kutumia PC kwa muda mrefu pia ambao wapo addicted na video games. Kwa hapa TZ sijui upatikanaji wake, mm niliwai kuagiza kutoka India ile ambayo ni first class kwa Rupee 3,500 lakini zipo hadi za Rupee 500 tofauti ni ubora wa frames.
NOTE: Ni muhimu kwenda hospital, ukigundulika hauna tatizo tafuta hizo protective glass.
IMG-20190214-WA0012.jpeg
IMG-20190214-WA0011.jpeg
 
Attachments

ICT OFFICER

JF-Expert Member
Oct 6, 2018
236
500
Hizo glass zinaitwa "Anti Blue ray Eyeglasses" haina eye prescription yoyote ile, so unaweza kuinunua na kuivaa bila kwenda kwa optometrists, zinafaa kwa watu ambao wanaangalia movie kwa muda mrefu, kutumia PC kwa muda mrefu pia ambao wapo addicted na video games. Kwa hapa TZ sijui upatikanaji wake, mm niliwai kuagiza kutoka India ile ambayo ni first class kwa Rupee 3,500 lakini zipo hadi za Rupee 500 tofauti ni ubora wa frames.
NOTE: Ni muhimu kwenda hospital, ukigundulika hauna tatizo tafuta hizo protective glass.
View attachment 1022037 View attachment 1022039
Niuzie hiyo
 
vampire123

JF-Expert Member
Apr 17, 2016
725
500
Bro na mm naitaji miwani kama hiyo
Hizo glass zinaitwa "Anti Blue ray Eyeglasses" haina eye prescription yoyote ile, so unaweza kuinunua na kuivaa bila kwenda kwa optometrists, zinafaa kwa watu ambao wanaangalia movie kwa muda mrefu, kutumia PC kwa muda mrefu pia ambao wapo addicted na video games. Kwa hapa TZ sijui upatikanaji wake, mm niliwai kuagiza kutoka India ile ambayo ni first class kwa Rupee 3,500 lakini zipo hadi za Rupee 500 tofauti ni ubora wa frames.
NOTE: Ni muhimu kwenda hospital, ukigundulika hauna tatizo tafuta hizo protective glass.
View attachment 1022037 View attachment 1022039
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Edc Tz

Member
Apr 20, 2018
60
125
Computer za sasa hazina madhara sana kwa macho. Epuka yafuatayo, kuongeza brightness mpaka mwisho ukiwa ndan ya chumba chenye mwanga hafifu au giza kabisa yaani unazima taa af unaongeza mwanga wa computer yako sana hiyo ina madhara

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mr. Mobile

JF-Expert Member
Aug 28, 2017
1,430
2,000
blue-blocking-glasses-with-case-500x500.jpeg

● FDA approved glasses providing a crystal clear picture
● Improve sleep & protect your eyes with our blue light glasses
● Added anti-glare, anti-fog and full UV Protection function
● Perfect for anyone who spends long times in front of screens
● Suitable for professionals, commuters and gamers
● Comes with a hard case and cleaning cloth
● Measurements – lens height: 43.5mm, nose bridge:19mm and arm length:143mm
● £1 donated to Fight For Sight eye research charity per order
● Design & developed by Optometrists in the UK, shipped worldwide

Copyright 2017-2019 Mr. Mobile, Inc. All Rights Reserved.
 
Mr. Mobile

JF-Expert Member
Aug 28, 2017
1,430
2,000
Duh sio poa mi nishaagiza yangu ya 5000 ipo njiani inakuja ikifika nitatupia

Sent using Jamii Forums mobile app
Zipo hata za elfu tatu mkuu, kikubwa angalia quality na hizo zilizopo aliexpress nyingi ni quality ndogo, afadhali uchague za Xiaomi Roidmi zipo qualified na mashirika mengi ya kimataifa
IMG-20190214-WA0005.jpeg

Copyright 2017-2019 Mr. Mobile, Inc. All Rights Reserved.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom