Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,959
- 70,712
😅😅namjua...huyu anapenda sana reggae music
Hii ngoma hatari sana...Dj hata awe na roho mbaya vipi haiweki kapuni..
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama mimi aisee, nampenda sana baba yangu ingekuwa ni kuchagua ningeomba nitangulie kabla yake ila kifo ni fumbo.Dah...i can feel u...pole mno aisee nawazaga kufiwa na mzaz jamani naamini nitachizika mazima mm..nina hofu mno hyo mm...navyompenda baba yangu jaman bora nianze mm tu...hakuna msiba mzito na mgumu kama kufiwa na pacha wako pia aisee!unajiona na ww huna thamani kbs.!argh!Pole sana best..rip mom
Kwahiyo umelia hadi machozi? [emoji849][emoji849]. Mi nasikia jina tu lkn sijui wimbo wake hata mmoja. Aisee mi nilikuwa napenda mziki balaa enzi zangu hakuna mziki nisioujua, miziki ya aina yote sichagui. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Eti Bob Marley.. of course nikitaka kurelax nasikiliza sweet reggaeWe naye ...humjui zilla..mie sifatilii sana bongoflava lakini niamshe saa9 uniulize nampenda msanii gan..nitamtaja zilla..yaan nimepiga ukunga ghafla..nimeumiaa..!we si unapenda manyimbo yenu yale ya bob marley[emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787] halafu huwezi amini mkuu wa wilaya yangu simjuiMkuu wa Wilaya ya Simiyu unapoishi wewe
Acha nijibiwe basi, sio Kila mtu anamjuaMkuu unapoteza nguvu zako bure kumjibu huyo
huu wimbo mimi bwana [emoji23][emoji23][emoji23]naupenda mnoo na ninauchezaga balaa jaman...asbh umepigwa mie napaka mafuta acha nianze kuucheza..khaa wanamalizia wanasema rip ..nilipiga yowe mno yaan...!huu wimbo uwe na kitu kinachochuja sauti..utapenda
hamna...acha nimjibu ..anapenda reggae balaa huyo[emoji23]huenda hamjui
We ni raia wa nchi gan