Edc Tz
Member
- Apr 20, 2018
- 60
- 38
Acha nijibiwe basi, sio Kila mtu anamjua
huu wimbo hata Magu naamini anaupenda ..au wasira kbs lazima ushake aisee
Kiukweli namsikia tu lakini sijawahi jua wimbo wake wala sura yake
Wewe ni mwanangu kabisa yaani. Nimemaliza chuo 2007. Piga mahesabuUna miaka mingapi? Maana mm niko form 6 2011 king zilla alikua anahit
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuuingia google tafuta nyimbo inaitwa salasala ndio utamjua zilla alikuwa nani...
Kwahiyo umelia hadi machozi?. Mi nasikia jina tu lkn sijui wimbo wake hata mmoja. Aisee mi nilikuwa napenda mziki balaa enzi zangu hakuna mziki nisioujua, miziki ya aina yote sichagui.
Eti Bob Marley.. of course nikitaka kurelax nasikiliza sweet reggae