Elimu bora yenye sera zinazotekelezeka, dira, mfumo na utaratibu mzuri hutoa kizazi bora cha elimu ambacho ndicho hutumika kama chachu ya maendeleo katika taifa lolote.
Msingi wa maendeleo ni elimu, taifa lisilo na mfumo imara wa elimu, hujikuta likitumbukia katika malumbano, maradhi, ujinga...