Hongera JamiiForums kwa kutambua siku hii, nimependa barafu inavyo dondoka

Heri ya krismasi ndugu zanguni....nmeona ni vyema tu nitumie lugha yetu adhimu ya kiswahili kuliko kujifanya Pogba afu nikaishia kusema ...you can't me!!
 
Heri ya krismasi ndugu zanguni....nmeona ni vyema tu nitumie lugha yetu adhimu ya kiswahili kuliko kujifanya Pogba afu nikaishia kusema ...you can't me!!

Mkuu, hiyo you can't me it means ndo HATUMUWEZI au nimekosea kutafsiri mkuu...?.

Huwa napenda sana Mheshimiwa akiongea Kiingereza huwa naskia raha sana kwa kweli kumsikiliza kwa sababu napata kuongeza MISAMIATI zaid na zaid kwenye kamusi yangu.

Kweli I can't him. Khaaaaa.
 
Miaka ya nyuma walikuwa wanafanya hivi kwenye Xmas na pia Eid baadaye wakaacha. Bora waendelee nalo inapendezesha sana.

Nimefungua nikaona maua yakidondoka,view imebadilika!Nimeipenda hiyo!
Merry x mas JF mods!
 
He Came Un To His Own Received Not But As Many Received Him To Th Gave The Power To Become The Sons Of God That Beleive In His Name Which Were Born Not Of Blood Nor Of The Will Of The Flesh Nor Of The Will Of Man But Of God

Merry Christmas
 
Kwanza kabisa naomba niwashukuru kwa moyo wa dhaati kabisa kwa kazi zenu za kila siku. Zaidi ni kwa jinsi mwaka huu mlivyojitolea 'kutununulia' pamba za Christmas kama zinavyoonekana kwenye profile pictures zetu.
Swali langu ni je , pamba hizi (vibakora vya christmas) mtazichukua Leo au ndiyo tutadunda nazo hadi mwaka mpya?
Zawadi ya snow ndiyo sijaipata, maana nilipo Mimi ni joto balaa...
Ahsanteni.
 
Back
Top Bottom