Namkumbuka IGP Mahita kwa jambo la heri alilonifanyia. Niliajiriwa Polisi nikiwa na Elimu ya Kidato cha Nne. Ndani ya mwaka mmoja nikajiendeleza na kufanya Mtihani wa Kidato cha Sita kama Private Candidate. Matokeo kutoka nikafaulu na nikachaguliwa kwenda kusoma Nje ya Nchi tena kwa Udhamini wa...
Asante kwa kumsifia ACP Stella,namkumbuka ni Dada mwema,mpole na muungwana tangu tukiwa Depo CCP 1998/1999. Ni Depo Mate wangu,Platoon Mate mwenzangu(Namba 26) Kombania C,Hongera ACP Stella kwa uungwana wako
Kai hamna kitu,kwa uchezaji wake hatakuja kubadilika maana hata kujituma tu ni shida, anatakiwa aanzie bench awe anaingia dakika kuanzia ya 80,yaani hata Carabao hafai kucheza,ni heri kina Neilson kuliko Kai
Yes,tena Zinny alikuwa anamuelekeza Kai mpaka mishipa ya shingoni imemsimama,means ni kama alikuwa anampa makavu kwamba aache kucheza kimamamama Uwanjani,lakini ndio hivyo Arteta ana mahaba nae kama karogwa sijui limbwata daaah
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.