Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Umeongea ukweli ambao mashabiki wa manjesta hawataki kuusikia

kocha katumia £450m timu bado Ina average players wengi ,Kuna Pesa nyingi katapanya kwa average players

Sipati picha Mikel angetumia hiyo hela halafu timu iwe inacheza kifala hivo,

Mikel katumia £450m kuunda timu shindani na yenye squad ya thaman kubwa duniani ,
Jana nilikuwa najaribu kumtafuta Bruno Fernandes nikawa simuoni🤠🤠🤠...Casemiro naye nikawa simuoni sijui alijificha wapi🤠🤠🤠....aliyeleta kashkash ni Eriksen...rashidi Makame na Antony...Hawa ndo waliubonda kidogo...halafu ile rafu ilochezwa na yule Lindelof kwa Nketiah ilikuwa red card kabisa maana kainua njumu kumtandika msela mguu wa usoni ila ndo hvyo tushazoea Man U kubeba🤠🤠🤠
 
Yah kwasasa baada ya mwaka Ni muda wa Fabio Vieira kupewa muda Sasa

Ninachokataa watu kumponda tu

Kwa mech hizi 4 amecheza LCM na False 9

Hajafanya vibaya Wala vizuri
Fabio(mara nyingi akitokea benchi ni mtamu zaidi, aongezewe muda wa kuingia)
Trossard na rowe pia wanahitaji nafasi, tumekataa kuwapa Chelsea halafu anakaa benchi si jambo zuri.

Kwangu nasema kai kafanya vibaya, bado hajaonesha, bado anapaswa kuongeza juhudi
 
Mwaka 2021 Tuchel akiwa anamlinda Werner akasema Werner aache kufikiria magoli akafananisha na kumuomba date mwanamke, akasema huwezi kumlazimisha inabidi usubiri. Tulia magoli yatakuja.

Jana Arteta katumia mfano wenye muktadha huo huo kwa Kai.

Sasa Tuchel siku anatoa huo mfano ilikua Werner kacheza games 31 na kascore magoli mawili. Nilikua naona Tuchel hamtumii Timo inavyotakiwa, same janga litaanguka kwa Nkunku, na ninafikiri Kai pia hatumiwi inavyotakiwa.

Pasi zake ni fupi fupi na ni back pass au sideway passes na hii ni kwakua Kai hana vision kwenye passing, anamove muda mwingi wa mchezo, katika kupress anamove kama vile hataki au amechoka.

Henry aliwahi kumlalamikia Wenger juu ya Bergkamp nafikiri kisha Wenger akamuambia Henry "Usilalamike, jitahidi ucheze kwa kuangalia strength ya Bergkamp, jifunze ni muda gani atakua anaenda mbele muda gani atasimama" muda huo Henry kazoea kucheza na Pires.

Henry anasema akaanza kujifunza Bergkamp anachezaje, by doing so, Henry akaonekana bora na Bergkamp akaonekana bora. (Naweza kua nimechanganya majina hapa)

So tuanze Kai ana strength gani? Kwanini alikua anascore easily Ujerumani? Kai anakua comfortable akiwa kati huku akiwepo mtu anayeweza kufanya naye one two za karibu. Naturally ni AM hii ni kusema jamaa with enough confidence kupangua watu wawili siyo shida.

Chelsea na Arsenal hakuna Kocha aliyejaribu kucheza kwa strengths zake. Vieira ni tactically gifted and technical genius hii isikufool ukatamani aanze mechi bado hana hiyo stamina but ana vision na hii ndiyo silaha best kwake, due to this, hata kudefend anaweza.

Kai anastruggle kote, aanzie benchi. Niliwahi kua reddit siku fulani kuna member akasema anaishi karibu na Kai kama kuna ujumbe wowote tumpe amgee. Mashabiki wengi tukasema of coz bado hajaclick ila mwambie tunamuamini, wachache wakasema ukikutana naye mtaani ongea mambo ya mtaani siyo kazini.

We all know jamaa bado anatafuta njia na tunatamani aipate, swali ni lini strength yake itakua unlocked?
 
Kai hamna kitu,kwa uchezaji wake hatakuja kubadilika maana hata kujituma tu ni shida, anatakiwa aanzie bench awe anaingia dakika kuanzia ya 80,yaani hata Carabao hafai kucheza,ni heri kina Neilson kuliko Kai
 
Mlisema hivi hivi kwa Fabio. Kwa mimi nasema apewe muda akitokea bench au mechi za Carabao huko
 
Tutajie nani aliwahi kusema Fabio hafai
Mi nashangaa hawa jamaa wameng'ang'ania tumesema tumesema, ukiwaambia watutajie hao watu hawana data kamili.. Zaidi ni kutuletea illogical reasonings za ajabu kuhusu uwezo wa Havertz unavyoigharimu timu. Hata nashangaa wanavyojisifu kwamba ni wachambuzi nguli wenye uwezo wa kuona mpira kwa jicho la tatu nabaki nacheka na kushika kichwa. Kwa mechi chache zilizopita kila kitu kimejionesha, ni mjinga tu anayeweza kuamini Havertz anaweza kuanza kwa ubora wa wachezaji waliopo nje.
 
Bwana octopus bado ana tuvitu vitu tuzuri zaidi ya bwana rice, lakini rice anakupa kitu ambacho hata kama partey akiwa mgonjwa kichwa hakikuumi kukosekana kwa partey.
Rice anakupa athleticism

Anafanya recovery za kutosha

Partey anakupa turning za kufa mtu

JoJo anatuliza mechi mkiwa na presha
 
My star boy
20230904_095941.jpg
 
Fabio Vieira is repaying the trust of Mikel Arteta in the most perfect way.
20230904_104045.jpg
 
Mikel Arteta:

“Kuna kitu kimebadilika kwa Fabio (Vieira), unaona na umati wa watu unashangilia anapoingia ndani ni tofauti na alivyokuwa mwaka jana.

Amekomaa zaidi, ni mkubwa zaidi kikosini na imani yake kwenye kikosi iko juu."

“Kila mchezaji ana nafasi ya kufanya hivyo (kuanza), leo tumeamua kuanza na Kai, tulijua kwamba Fabio atakuwa na athari kubwa hasa dakika za mwisho, au dakika za mwisho tukihitaji kitu.

Nimefurahi sana kuwa na chaguzi hizo."
20230904_104045.jpg
 
Back
Top Bottom