My dream nawaza tu majobless wote humu tujiorganize tuunde kikundi kimoja tutengeze bonge moja ya plan kupitia fursa ya kilimo.
Kuhusu mtaji tungetumia ile Fulsa ya ya asilimia 10% kwa vijana na walemavu au tujipigepige kila mtu anatoa 100k.
Then tunainvest kilimo kwenye low risk environment...
Kaka mti mnene achana naye usipoteze muda kucompromize nae kumbuka humu ndani tupo kila design kunajobless ambao maisha safi hata madeni hana familia zao zimejitosheleza, kuna wapambanaji km sawadogo anafanya kibarua na kuna kama hao ambao hata njaa haijui ya hata vidonda vya tumbo hana, mtu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.