mfwende sawadogo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 2,466
- 5,674
yaah champ sio poah yaniHatuna budi kuskilizia pdf za mbeleni
yaah champ sio poah yaniHatuna budi kuskilizia pdf za mbeleni
Yaani mnaozikandia halmashauri nawakumbusha kuna sisi tulioko kwenye mazingira kama haya shukuruni kwa yote nchi itajengwa na sisi wenyewe kila eneo linahitaji nguvu kazi.
labda kuna mkeka mzito unakuja Usiku kusherekea ramadhan kwa tabaasamu.... Wametoka kwenye futari mda huu Uongozi mzima wa Utumishi ngoja tujipe maatumain mrejesho wa futar ile...Tena halmashauri zenyewe mbili
Sijajua..ila naikumbuka kipindi cha mwendazake alisema mishahara yote itoke hazina....ila ngoja nsubirie maana barua ya ajira kutoka kwa mwajiri inasoma kazi nimeanza mwezi wa 3 tarehe za mwisho mwisho.....hivi inawezekana mtu kulipwa miezi 2 baada ya check # kutoka??Mkuu bado hamjalipwa? hivi mishahara ya taasisi zinazojitegemea/zinazozalisha huwa haitoki hazina?
Mwanzon PDF ilitoka kwa mwajiri ganhahaha eti maji jumvi
Mwanzon kwenye PDF mwajiri aliandikwa naniNimepelekwa kwenye teachers college moja ni balaa huku sio asali ni maji chumvi
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
mkuu ijayo inapage ngapii?Wakuu siku haijaisha leo msikate Tamaaa kuna moja bado leo...
dah raia sasa hivi hawatoi ushuhuda kisa watu wameziponda halmashauri.watu wanapata halmashauri wanavunjika moyo kisa maneno ya kijiweni hapa,
wakuu ajira ni ajira tuu,shusheni shuhuda hapa. kumbukeni mfwende niko tayari nikafanye kazi halmashauri ya simiu, meatu, gamboshi,namtumbo nk
Alipata wizara ya elimuMwanzon kwenye PDF mwajiri aliandikwa nani
Binafsi sijui..lakini ukishagundua idadi yao itakusaidia nini? Kumbuka hata kama wameomba watu 100, na nafasi inahitajika moja, bado yaweza kuwa ndio yako hiyo nafasi.Wadau kuna mtu yoyote Anajua kuangalia kupitia mfumo wa ajira portal kujua kazi imeombwa na watu wangapi???
Huenda kuna tatizo sehemu.Sijajua..ila naikumbuka kipindi cha mwendazake alisema mishahara yote itoke hazina....ila ngoja nsubirie maana barua ya ajira kutoka kwa mwajiri inasoma kazi nimeanza mwezi wa 3 tarehe za mwisho mwisho.....hivi inawezekana mtu kulipwa miezi 2 baada ya check # kutoka??
utazoea tuMshahara wa kwanza jmeingia jana m moja na kaushee, hapa imebaki 80k.. Eid ishakua chungu maninaaa
1M na kaushee sio mkuu! so ume spend jana pekee??Mshahara wa kwanza jmeingia jana m moja na kaushee, hapa imebaki 80k.. Eid ishakua chungu maninaaa
Famchezo nn😂😂 watu tunasubiria tuajiliwe tupate hata 500k halaf mdau 1m kamaliza siku 1😂1M na kaushee sio mkuu! so ume spend jana pekee??
Mwingine hana ramana ya hata 100 mwningine ana 1m na kaushee na anatukana juu kwa hakatoshi 🤣 🙌 anyway tuishii maana hata vidole havilingani1M na kaushee sio mkuu! so ume spend jana pekee??