Lello199
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 1,389
- 3,562
Mimi afisa utafiti mkuu.Mkuu post gan, kama mwandishi wa taarifa rasmi za bunge me nna abc
Mimi afisa utafiti mkuu.Mkuu post gan, kama mwandishi wa taarifa rasmi za bunge me nna abc
hatari sana icho kitu nilikisema juzi hvii kuwa kuna wimbi la graduates wapya wanapiga kweli pepa,cc wazee tujipange mno ku compete naoHawa wana wameramba zero aisee hatari sana...tujiandae wakuu tusifanye zima moto
Pepa za utumishi kama hujajiandaa vzr bora usiende utapoteza resource zako burehatari sana icho kitu nilikisema juzi hvii kuwa kuna wimbi la graduates wapya wanapiga kweli pepa,cc wazee tujipange mno ku compete nao
Ila pambaneni tu!! graduates wapya wana advantage kwenye written, lakini kwenye oral mzoefu wa kitaa atakuwa na confidence zaidi-kwa mtazamo wqangu!hatari sana icho kitu nilikisema juzi hvii kuwa kuna wimbi la graduates wapya wanapiga kweli pepa,cc wazee tujipange mno ku compete nao
Samahani mkuu ukisema kuongeza nyongeza mbili za mshahara huwa Una maanisha niniKwa scenario hiyo, ukiwasilisha masters yako watakupa nyongeza mbili za mshahara. Ila hutazipata hapo hapo kwa sababu hazipo kwenye bajeti iliyopo. Watakachofanya ni kwamba watakapokuwa wanaandaa bajeti ijayo wataweka na nyongeza zako mbili.
Ukiramba zero kwa kweli utahitaji counselling, vinginevyo psrs utaiona kama kituo cha polisi!! Hutataka kabisa hata kutembelea tovuti yao na kunyoosha mikono kutafuta ajira kupitia psrs!Hawa wana wameramba zero aisee hatari sana...tujiandae wakuu tusifanye zima moto
Mkuu nimekucheki pm tafadhaliIla pambaneni tu!! graduates wapya wana advantage kwenye written, lakini kwenye oral mzoefu wa kitaa atakuwa na confidence zaidi-kwa mtazamo wqangu!
Kila ngazi ya mshahara huwa ina kiwango cha chini hadi cha juu. Kutoka kiwango kimoja kwenda kingine kuna nyongeza moja ya mshahara. Hizo nyongeza hupatikana kwa mwaka. Nikupe mfano wa kufikirika: Umeajiriwa ukapewa mshahara ngazi ya TGS X1 - Tsh 300,000/=. Baada ya mwaka mmoja kama serikali ikiruhusu nyongeza ya mwaka mshahara wako utakuwa TGS X2 - Tsh 315,000/=. Maana yake ni kwamba kwenye hiyo ngazi ya mshahara wako nyongeza ya mshahara ni sh 15,000/=. Kama ukipewa nyongeza mbili maana yake mshahara wako utakuwa TGS X3 - 330,000/=.Samahani mkuu ukisema kuongeza nyongeza mbili za mshahara huwa Una maanisha nini
NashkuruKila ngazi ya mshahara huwa ina kiwango cha chini hadi cha juu. Kutoka kiwango kimoja kwenda kingine kuna nyongeza moja ya mshahara. Hizo nyongeza hupatikana kwa mwaka. Nikupe mfano wa kufikirika: Umeajiriwa ukapewa mshahara ngazi ya TGS X1 - Tsh 300,000/=. Baada ya mwaka mmoja kama serikali ikiruhusu nyongeza ya mwaka mshahara wako utakuwa TGS X2 - Tsh 315,000/=. Maana yake ni kwamba kwenye hiyo ngazi ya mshahara wako nyongeza ya mshahara ni sh 15,000/=. Kama ukipewa nyongeza mbili maana yake mshahara wako utakuwa TGS X3 - 330,000/=.
Kila ngazi ya mshahara huwa ina ukomo wake. Ukifika kwenye ukomo wa ngazi yako ya mshahara, huwezi kupata nyongeza tena ya mshahara. Kitakachoongeza mshahara wako kama uko kwenye ukomo wa ngazi ya mshahara ni: 1. Kama serikali itatangaza ongezeko la mshahara. Hapo japo bado uko mkwenye ukomo/bar lakini ukomo huo utaongezeka kiasi cha mshahara. 2. Promotion. Ukipata promotion hapo unakwenda ngazi ya pili kwenye muundo wako wa utumishi. Mshahara utakuwa TGS Y1 na mshahara wake ni mkubwa kuliko ukomo wa TGS X1. eg ulikuwa TGS D sasa utakuwa TGS E.
Chief.. nimeku text inbox jambo personal, naomba ukipata nafasi upite huko.Kila ngazi ya mshahara huwa ina kiwango cha chini hadi cha juu. Kutoka kiwango kimoja kwenda kingine kuna nyongeza moja ya mshahara. Hizo nyongeza hupatikana kwa mwaka. Nikupe mfano wa kufikirika: Umeajiriwa ukapewa mshahara ngazi ya TGS X1 - Tsh 300,000/=. Baada ya mwaka mmoja kama serikali ikiruhusu nyongeza ya mwaka mshahara wako utakuwa TGS X2 - Tsh 315,000/=. Maana yake ni kwamba kwenye hiyo ngazi ya mshahara wako nyongeza ya mshahara ni sh 15,000/=. Kama ukipewa nyongeza mbili maana yake mshahara wako utakuwa TGS X3 - 330,000/=.
Kila ngazi ya mshahara huwa ina ukomo wake. Ukifika kwenye ukomo wa ngazi yako ya mshahara, huwezi kupata nyongeza tena ya mshahara. Kitakachoongeza mshahara wako kama uko kwenye ukomo wa ngazi ya mshahara ni: 1. Kama serikali itatangaza ongezeko la mshahara. Hapo japo bado uko mkwenye ukomo/bar lakini ukomo huo utaongezeka kiasi cha mshahara. 2. Promotion. Ukipata promotion hapo unakwenda ngazi ya pili kwenye muundo wako wa utumishi. Mshahara utakuwa TGS Y1 na mshahara wake ni mkubwa kuliko ukomo wa TGS X1. eg ulikuwa TGS D sasa utakuwa TGS E.
Mkuu m naomba kuuliza Researcher officer Lazima awe na GPA kama uloitaja hapo?Kuhama kwa connection hapo unaingia kwenye mambo ya kujuana ambayo hayana kanuni na tunayapiga vita. Hapo unaingiza kujuana na rushwa. Lakini utaratibu ni kutafuta kwanza personally halafu unafuata utaratibu. Kwa mfano wewe umeajiriwa kama Fisheries Officer II halmashauri fulani. Lakini una una sifa za kuwa Research Officer II kwenye taasisi ya utafiti wa samaki TAFIRI, kwa maana kwamba una GPA 3.8 au zaidi.
Nenda kwenye taasisi hiyo ya utafiti kaulize kama wana nafasi ya kuhamia hapo. Wakisema nafasi wanayo, wape CV yako na waulize kama wanakubali ukihamia hapo kwa vsifa zako hizo. Wanaweza kukuhoji kidogo kuona uwezo wqako. Wakisema wanakubali, hapo ndipo uanzishe mchakato rasmi wa kuhama kama nilivyoueleza huku ukijua kuwa tayari wamekubali.
Nachojua kwa taasisi ya utafiti kama ya kilimo ni kuanzia 3.5Mkuu m naomba kuuliza Researcher officer Lazima awe na GPA kama uloitaja hapo?
Ndiyo. Academic qualification za research officer ni kama za mhadhiri wa chuo kikuu. Undergraduate lazima awe na GPA ya 3.8 au zaidi.Mkuu m naomba kuuliza Researcher officer Lazima awe na GPA kama uloitaja hapo?
Shukran nimekuelewaNdiyo. Academic qualification za research officer ni kama za mhadhiri wa chuo kikuu. Undergraduate lazima awe na GPA ya 3.8 au zaidi. Na promotion za kwenye research zinatokana na 1. Kuongeza elimu 2. Kuandika papers kwenye journals mbali mbali hasa International Journals kama ilivyo kwa wahadhiri. Kwenye research kusoma masters na PhD ni kama lazima, vinginevyo hupandi. Pia mshiko wake ni wa keleweka!!
Hili limeanza lini?Ndiyo. Academic qualification za research officer ni kama za mhadhiri wa chuo kikuu. Undergraduate lazima awe na GPA ya 3.8 au zaidi. Na promotion za kwenye research zinatokana na 1. Kuongeza elimu 2. Kuandika papers kwenye journals mbali mbali hasa International Journals kama ilivyo kwa wahadhiri. Kwenye research kusoma masters na PhD ni kama lazima, vinginevyo hupandi. Pia mshiko wake ni wa keleweka!!