mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 14,195
- 19,123
Leo huu uzi umepoa sana! Nawatakia weekend njema!
Kaka ni kweli ila nadhani huu uzi inachanganywa na pdfLeo huu uzi umepoa sana! Nawatakia weekend njema!
Kaka ni kweli ila nadhani huu uzi inachanganywa na pdf
#inachangamshwa na mkekaKaka ni kweli ila nadhani huu uzi inachanganywa na pdf
Kwani mkeka hauwezi kutokea week end?#inachangamshwa na mkeka
All the best mkuu...huko UCSAF naskia kuna buyu kubwa sana la asali hukooInterview UCSAF senior Fianance officer
1.Explain the qualitative characteristics of financial statement.
2.explain atleast five accounting concept
3.Explain the roles of the conceptual framework.
4.swali la nne lilikua la ku identify ledger
Tunajiandaa na mikondoLeo huu uzi umepoa sana! Nawatakia weekend njema!
Ahsante sana @ Mbinguni kwetu , tupo pampjaLeo huu uzi umepoa sana! Nawatakia weekend njema!
Na vipi kama ukipata CPA ukiwa kazini kuna kuwa na mabadiliko upande wa mshahara?Umejibu sawa!! Lakini pia kwenye research institutions pia masters inapandisha ngazi!! Huko kwingine masters ukiipata unapata tu nyongeza mbili za mshahara. Lakini kama ulikuwa nayo na ukawasilisha cheti hakuna effect kwenye mshahara!! Ila kama ulikuwa huna na ukaipata ukiwa kazini unapewa nyongeza mbili!!
Siyo automatically!! Lakini CPA inakupa nafasi ya kupanda cheo, kama nafasi ikitokea. Hiyo ni professional qualification. Haikupi uhalali wa kuongezewa mshahara katika nafasi uliyo nayo, lakini inakupa uhalali wa kushika nafasi ambazo huwezi kuzishika bila kuwa nayo, na nafasi hizo huwa na mshahara mkubwa zaidi.Na vipi kama ukipata CPA ukiwa kazini kuna kuwa na mabadiliko upande wa mshahara?
Probability kkKwani mkeka hauwezi kutokea week end?
Ahsante kwa maelezoSiyo automatically!! Lakini CPA inakupa nafasi ya kupanda cheo, kama nafasi ikitokea. Hiyo ni professional qualification. Haikupi uhalali wa kuongezewa mshahara katika nafasi uliyo nayo, lakini inakupa uhalali wa kushika nafasi ambazo huwezi kuzishika bila kuwa nayo, na nafasi hizo huwa na mshahara mkubwa zaidi.
Huku halmashauri ukiwa na CPA kama unaanza kazi utaanza na TGS E1 daraja moja mbele ya mtu mwenye degree ya fedha asie na CPA TGS D1Na vipi kama ukipata CPA ukiwa kazini kuna kuwa na mabadiliko upande wa mshahara?
Ni kwa watumishi wote wa umma wakiwemo wa halmashauri.Hii ni kwa hadi watumishi wa halmashauri
Weeeeeeee.......Iko hivi: Huwa kuna makato kila mwezi kwa ajili ya kuhudumia akaunti yako (service charges). Kwa hiyo ili maadam hiyo akaunti hujaifunga rasmi makato huendelea kila mwezi. Kama huna pesa wakikata inasoma negative balance. Sasa ukija ku-activate akaunti yako na kuingiza pesa utakuta kuna negative/deni kubwa na pesa unayoingiza itatumika kulipa hilo. Kwa hiyo kama akaunti ilikuwa dormant muda mrefu labda tangu pesa ya boom ilipokata, na baada ya miaka mingi unapata ajira, hapo mshahara wote utaishia kulipa malimbikizo ya service charges tu. Wengi wenye uelewa huwa wanatelekeza akaunti zao zilizo dormant na kufungua akaunti mpya.
Mkuu mbona hamna kituuu??WCF wameita watu huko,angalieni kwa account zenu
mi nimeona manMkuu mbona hamna kituuu??
🙄 mbona wameita watu 5200 kwan post zilikua ngapi?WCF wameita watu huko,angalieni kwa account zenu
[emoji849] mbona wameita watu 5200 kwan post zilikua ngapi?