Key points amewasemea kwenye engo zipi mkuu !?tutegemee ajira za mamlaka ya usalama mahali pa kazi( OSHA) maana mama naona kawasemea sna leo meimosi
Maana nasikia papo vizuri huko
Key points amewasemea kwenye engo zipi mkuu !?tutegemee ajira za mamlaka ya usalama mahali pa kazi( OSHA) maana mama naona kawasemea sna leo meimosi
kuongeza watumishi na vitendea kazi oshaKey points amewasemea kwenye engo zipi mkuu !?
Maana nasikia papo vizuri huko
hapo kama huna connection utapata magereza tu,hao wengine baba kanituma,degree holder kupata kwenye vyombo vya ulinzi bila maelekezo kutoka juu uwe na MUNGU sana mzee baba.Nadhani nafasi za kwenye majeshi zitamwagwa nyingi sana pia kwa 2023/2024 yaani JWTZ, Polisi, na Magereza.
Of course kumtanguliza Mungu ni muhimu. Ila huwezi amini magereza ni kuzuri sana kwa ngazi ya afisa!hapo kama huna connection utapata magereza tu,hao wengine baba kanituma,degree holder kupata kwenye vyombo vya ulinzi bila maelekezo kutoka juu uwe na MUNGU sana mzee baba.
halooOf course kumtanguliza Mungu ni muhimu. Ila huwezi amini magereza ni kuzuri sana kwa ngazi ya afisa!
Bado sana, hata nusu hawajafikaKwaiyo tuseme mikeka ya MDAs and LGAs ndio zimeishia apo
Friday 60%Wazee wa ramli tutegemee pdf nyengine lini tena
So wiki hii Hamna 100%Friday 60%
Thursday 40%
Wednesday 55%
Today 10%
100% hata kitenge hajui mkuuSo wiki hii Hamna 100%
Mfadhaiko + kukata tamaaHuu ukimya chanzo chake n nn Wana JF?
Huzuni tupuMfadhaiko + kukata tamaa
No please!! your turn is just there around the corner!! God is faithful, just keep believing on Him!!Heart broken