HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
sihitaji tena nmepiga interview mingi nafika hadi oral alaf hata placement za database hamna . mara wanatangaza nafasi mpya kwa kada hiyo.

mm kila interview written napiga 90 ikishuka sana 85. interview zenye practictal sijawahi pata chini ya 80. nikifika oral najibu maswali yote point za uhakika ila kazi hawanipi. sijui ni hadi uwe na connection. maana nataka kuifuta tu hiyo account ntapambana na tamisemi na wizara

Sent using Jamii Forums mobile app
punguza hasira kijana. una uhakika gani tamisemi na wizara utapata? Sali sana uongeze imani yako kwa mungu
 
Kwanza kabisa napenda kumshukuru na kumtukuza Mungu Baba aliye Mkuu na mwaminifu kwa ahadi zake kwetu.
Hatimae leo hii ameniona mtumishi wake na kwa mapenzi yake amenipa Asali katika utumishi wa umma
Ndugu zangu tusikate tamaa , Mungu anatuwazia yaliyo mema daima ili sisi tupate kuishi kwa matumaini.

Nilifanya jumla ya saili 8 mwaka jana kuanzia mwezi March lakini katika hizo ni moja tu ndio nilifanikiwa kufika Oral na ndiyo hiyo ambayo Mungu kwa wema wake amenijalia leo hii.
Hongera sana mkuu, hakika Mungu ni mwema, ukawe mtumishi mwadilifu na mchapa kazi katika utumishi wako, hongera sana kwa kulamba asali
 
sihitaji tena nmepiga interview mingi nafika hadi oral alaf hata placement za database hamna . mara wanatangaza nafasi mpya kwa kada hiyo.

mm kila interview written napiga 90 ikishuka sana 85. interview zenye practictal sijawahi pata chini ya 80. nikifika oral najibu maswali yote point za uhakika ila kazi hawanipi. sijui ni hadi uwe na connection. maana nataka kuifuta tu hiyo account ntapambana na tamisemi na wizara

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiona machungu mengi yamezidi jua kufanikiwa kupo karibu, Head up champion usikate tamaa. We have failed many times but we still believe, As long as you still alive it means you have a chance to make it happen,If not today it may be tomorrow. Surrender is not an option.
 
Kwanza kabisa napenda kumshukuru na kumtukuza Mungu Baba aliye Mkuu na mwaminifu kwa ahadi zake kwetu.
Hatimae leo hii ameniona mtumishi wake na kwa mapenzi yake amenipa Asali katika utumishi wa umma
Ndugu zangu tusikate tamaa , Mungu anatuwazia yaliyo mema daima ili sisi tupate kuishi kwa matumaini.

Nilifanya jumla ya saili 8 mwaka jana kuanzia mwezi March lakini katika hizo ni moja tu ndio nilifanikiwa kufika Oral na ndiyo hiyo ambayo Mungu kwa wema wake amenijalia leo hii.
Congratulation champ.
 
Hongera mkuu,Mungu ni mwema na amekuinua,ukawe mtumishi mwema na Mungu akujaalie mafanikio katika Maisha yako.
 
Kwanza kabisa napenda kumshukuru na kumtukuza Mungu Baba aliye Mkuu na mwaminifu kwa ahadi zake kwetu.
Hatimae leo hii ameniona mtumishi wake na kwa mapenzi yake amenipa Asali katika utumishi wa umma
Ndugu zangu tusikate tamaa , Mungu anatuwazia yaliyo mema daima ili sisi tupate kuishi kwa matumaini.

Nilifanya jumla ya saili 8 mwaka jana kuanzia mwezi March lakini katika hizo ni moja tu ndio nilifanikiwa kufika Oral na ndiyo hiyo ambayo Mungu kwa wema wake amenijalia leo hii.
Hongera kaka
 
Usiwe mjinga mjinga kwa kitu usichokijua we kijana,Magufuli alizibiti hicho kitu Cha kuchomeka majina toka mfukoni,tulio UTUMISHI ndo tunajua,we utajua Nini hata kazi hujapata?? Unajua kufanya usahili tu
Tema mate chini kiongozi. sio kauli nzuri ya kumwambie mwenzako iyo. Leo wewe upo kazini but kesho atakuwa bosi wako uyo unayemwambia hana kazi. Dunia ni duara hii. Siri ya kesho anaijua Muumba.
 
sihitaji tena nmepiga interview mingi nafika hadi oral alaf hata placement za database hamna . mara wanatangaza nafasi mpya kwa kada hiyo.

mm kila interview written napiga 90 ikishuka sana 85. interview zenye practictal sijawahi pata chini ya 80. nikifika oral najibu maswali yote point za uhakika ila kazi hawanipi. sijui ni hadi uwe na connection. maana nataka kuifuta tu hiyo account ntapambana na tamisemi na wizara

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hii vita ni Kali Sana na ina silaha moja Tu, ili ushinde ni lazima uitumie nayo ni usikate tamaa siku moja nahakika Mungu atatenda
 
Kwanza kabisa napenda kumshukuru na kumtukuza Mungu Baba aliye Mkuu na mwaminifu kwa ahadi zake kwetu.
Hatimae leo hii ameniona mtumishi wake na kwa mapenzi yake amenipa Asali katika utumishi wa umma
Ndugu zangu tusikate tamaa , Mungu anatuwazia yaliyo mema daima ili sisi tupate kuishi kwa matumaini.

Nilifanya jumla ya saili 8 mwaka jana kuanzia mwezi March lakini katika hizo ni moja tu ndio nilifanikiwa kufika Oral na ndiyo hiyo ambayo Mungu kwa wema wake amenijalia leo hii.
Hongera sana mkuu, ukawe mtumishi mwema!
 
View attachment 2616468View attachment 2616469

Somebody mwenye COMMUNICATIONS na psrs aulize mbona majina ya AIRCRAFT MTC TECHNICIAN TGFA hayapo ila ratiba ipo?
Mkuu hao watu wanakuaga wazito kupokea simu. Cha kufanya angalia kwenye akaunti yako (kama uliomba nafasi hiyo).

Namna ya kuwapata ni kuwapigia simu kupitia namba zao ambazo wameweka kwenye tovuti yao. (Unapiga mara nyingi hadi watakapopokea).
 
Back
Top Bottom