HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
makofia360 siyo kwamba yupo utumishi hadi mumuamin asilimia 100. Ye anachofanya anaotea tu kuwa kitatokea kitu fulani soon. ndio mana juzi alisema kabla ya saa nne watu watalamba asali lakini haikuwa ivyo. so vuteni pumzi vijana mambo mazuri hayataki haraka.
 
Placement zimeisha,wameanza kuita interview tena
Placement bado sana!! MDA & LGA hawajafika hata nusu ya zile post zaidi ya elfu mbili. Kada pekee waliyoita sana ni LIVESTOCK FIELD OFFICER II hadi sasa wamelamba asali watu 216. Hata hivyo na wao bado maana nafasi zao zilikuwa 360. Kwa hiyo bado nafasi 144 zinasubiri, mlioomba kada hiyo endeleeni kusubiri kulamba asali! Kwa upande wa kada ya FISHERIES OFFICER II wao hadi sasa wamelamba asali watu 32 tu kati ya nafasi 100 zilizotangazwa, Kwa hiyo kuna nafasi 68 bado hazijajazwa, endeleeni kusubiri kuramba asali kwa kada ya FISHERIES OFFICER II. Ila naipongeza idara ya mifugo na uvuvi idara iliyojitahidi sana kurambisha watu asali.
 
Nchi ngumu sana hii daah
Ni kweli ila endelea kusubiri MDA & LGA bado kurambisha asali zaidi ya watu 1,000.
Placement bado sana!! MDA & LGA hawajafika hata nusu ya zile post zaidi ya elfu mbili. Kada pekee waliyoita sana ni LIVESTOCK FIELD OFFICER II hadi sasa wamelamba asali watu 216. Hata hivyo na wao bado maana nafasi zao zilikuwa 360. Kwa hiyo bado nafasi 144 zinasubiri, mlioomba kada hiyo endeleeni kusubiri kulamba asali! Kwa upande wa kada ya FISHERIES OFFICER II wao hadi sasa wamelamba asali watu 32 tu kati ya nafasi 100 zilizotangazwa, Kwa hiyo kuna nafasi 68 bado hazijajazwa, endeleeni kusubiri kuramba asali kwa kada ya FISHERIES OFFICER II. Ila naipongeza idara ya mifugo na uvuvi idara iliyojitahidi sana kurambisha watu asali.
 
Ivi uki-itwa interview kwa ajira za mkataba ukafaulu vizuri mpaka oral ila ukakosa nafasi ni unaweza kubakia database au database ni kwa ajira za permanent tu ?
 
Nimeona upande wa Wizara ya Afya wameitwa usaili watu wa takwimu wakati huohuo kuna nafasi 70 za Mtakwimu II zilitangazwa na MDA&LGA na oral yake ikafanyika Mwezi February na mpaka sasa walioitwa kazini idadi haijafika 70. Hii ina maanisha nini wataalamu?, kwa maana Wizara ya Afya ni miongoni mwa MDA!!!
 
Nimeona upande wa Wizara ya Afya wameitwa usaili watu wa takwimu wakati huohuo kuna nafasi 70 za Mtakwimu II zilitangazwa na MDA&LGA na oral yake ikafanyika Mwezi February na mpaka sasa walioitwa kazini idadi haijafika 70. Hii ina maanisha nini wataalamu?, kwa maana Wizara ya Afya ni miongoni mwa MDA!!
Ngoja waje wanaoweza kulielezea vizuri hili!
 
My dream nawaza tu majobless wote humu tujiorganize tuunde kikundi kimoja tutengeze bonge moja ya plan kupitia fursa ya kilimo.
Kuhusu mtaji tungetumia ile Fulsa ya ya asilimia 10% kwa vijana na walemavu au tujipigepige kila mtu anatoa 100k.
Then tunainvest kilimo kwenye low risk environment mfano morogoro, Mbega,Shinyanga, iringa kwa kuzingatia mazao husika. Nina uhakika tutatoboa wandugu.
Ila bado ni mtazamo tu kwa sababu hata mm ni jobless ambaye nasubiria ajira kutoka serikalini akili na mawazo yangu yote imefungwa haiwezi tena behind wall. That's my dream ndugu zangu
 
Haya ndiyo mambo yasiyozingatia hali halisi: Tangazo limetoka rasmi leo tarehe 9/5/2023. Lakini linawataka walioramba asali wawasili chuo kikuu cha ardhi JANA tarehe 8/5/2023 saa 3.00 asubuhi. Hata kama mtu unakaa Dar utawezaje kuripoti jana wakati umeitwa leo? Kwa mujibu wa anuani zao kuna mtu toka njombe na mwingine toka kilimanjaro, japo wengi ni wa Dar!!
 
Kama kuna mtu anategemea placement zaidi kutoka MDA&LGA awaze mara mbili zaidi,leo wameleta pdf ya terehe 5 ndio wanaweka leo kusahaulisha watu,hapo ilipofika mm sidhani kama kama kuna kutegenea pdf kubwa zaidi ya ya hivi vikb,
Lower your expectations then weka plan nyingine till next time.
 
Uliona wapi mfanye interviwe sawa wengine wameitwa mwezi wa tatu then miezi miwili mpaka mitatu usubiri kuitwa ilihali hujui hata kama ulifaulu,same moment post za kada yako wanaitwa kwa ajili ya intervie na matangazo yanatoka.
 
Kama kuna mtu anategemea placement zaidi kutoka MDA&LGA awaze mara mbili zaidi,leo wameleta pdf ya terehe 5 ndio wanaweka leo kusahaulisha watu,hapo ilipofika mm sidhani kama kama kuna kutegenea pdf kubwa zaidi ya ya hivi vikb,
Lower your expectations then weka plan nyingine till next time.
ofcoz
 
lakini pia itakuwa IT wa utumishi anazimega mega hipi pdf just to take mass attention.
Wanaona raha web yao kutembelew na watu wengi.
 
Back
Top Bottom