Mr Spider
JF-Expert Member
- Feb 28, 2020
- 2,003
- 3,614
Pamoja sana mkuuWalioomba kazi ambao mna digrii yoyote mwaka haushi buree,,,,sasa utakopangiwa popote msiache kwenda na mumshukuru mungu kesho inshallah saa nnne nitakuja na taarifa za ndani kuhusu next placement,,,,wiki iliyoisha nilipewa taarifa kuhusu vitaasisi vizuri tofauti na hizi Halmashauri vinafanya upembuzi wa database kulingana na uhitaji na moja wapo ilikuwa ni Tarura nadhani tayari pia kuna taasisi za bima mpaka kesho nadhani tutapata mpya
Sent using Jamii Forums mobile app