Recent content by Donwise

  1. Donwise

    JamiiForums Tanzania Kama atafanikiwa kwenye hili basi atakuwa ndio Rais bora katika historia ya Tanzania na huenda akakumbukwa kwa vizazi hata vizazi

    Hakuna kitu mama anafanya zaidi kuongeza kero Tu kwa wananchi wanyonge anakopa kopa bila mipango mazubuti nikuongeza mzigo wa deni la taifa kwa wananchi wanyonge Tu.
  2. Donwise

    JamiiForums Tanzania Kama atafanikiwa kwenye hili basi atakuwa ndio Rais bora katika historia ya Tanzania na huenda akakumbukwa kwa vizazi hata vizazi

    Kwahilo tusubili Mungu akituletea tena Kiongozi mwenye utimamu wa kizalendo na ukomavu wa kimaamuzi magumu na akili yakinifu kwa maslai maoana ya kitaifa vinginevyo bora ikabaki ardhini Tu maana itakuwa haina tija wala faida kwa wananchi Bali itakuwa na faida kwa vibaraka na mabwana zao huo ni...
  3. Donwise

    JamiiForums Tanzania Natamani mdahalo 'live' kati ya wanaokubali na kukataa chanjo ya COVID-19

    Hii itakuwa patashika nguo kuchanika.
  4. Donwise

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya Vijana CHADEMA wamtaka Mbowe kujiuzulu; kesi ya ugaidi inamuondolea sifa ya kuwa kiongozi wa kisiasa

    Kweli kabisa uwezi kujenga kwa jirani kwako kunabomoka huo ni unafki mkubwa..
  5. Donwise

    JamiiForums Tanzania Tumsikilize mchungaji Gwajima, tusimbeze. Chanjo zote zina bechi tofauti na kuna nchi hukataa baadhi ya bechi na nyingine ni zile zilizobakia

    Kweli kabisaaaaa kwanza tujitegemee ilitujitawale kabisa
  6. Donwise

    JamiiForums Tanzania Toka kwa Wananchi: Kero na vitendo vya kifisadi vinavyoendelea nchini vinavyotakiwa kufuatiliwa

    Jipu au Nero ni tumeya ajira zinatolewa kwakujuana hasa hasa katika nafasi nzuri nzuri mfano BOT,Airport n.k wanawapa kazi wajomba zao na watoto wao hali kwamba hawana sifa.mfano wadumu ktk ndege wamenenepeana kama vifusi...
  7. Donwise

    JamiiForums Tanzania Kusoma messages za mtu mwingine bila yeye kujua

    Duuu
  8. Donwise

    JamiiForums Tanzania Huyu ndiye Christopher Kasanga Tumbo (RIP) - Mwanasiasa Machachari

    Daaa kweli
  9. Donwise

    JamiiForums Tanzania Toka kwa Wananchi: Kero na vitendo vya kifisadi vinavyoendelea nchini vinavyotakiwa kufuatiliwa

    Kero:Rushwa bado ipo maeeneo mengi mfano;Ajra utolewa kwa kujuana,Rushwa karibu taassi zote za umma na binafsi n.k
  10. Donwise

    JamiiForums Tanzania Hadithi fupi yenye funzo juu ya chaguzi na ndoa: jaribu kupitia hapa upate kujifunza kitu wewe ambae bado hujaoa au kuolewa

    Safi sana asant kwa funzo kubwa Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Donwise

    JamiiForums Tanzania CDC yasema huenda Marekani ikawa na mlipuko wa pili wa Coronavirus wakati wa msimu wa baridi (Winter)

    Hatari sana Mungu aturehemu Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Donwise

    JamiiForums Tanzania Zama za hapa kazi tu, ziliwahitaji nani na nani kufanya kazi na Rais John Magufuli

    Safi sans Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Donwise

    JamiiForums Tanzania Barua yangu ya wazi kwa Mwanafunzi Chuo Kikuu Tanzania

    Daaaa niukweli usiopingika Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Donwise

    JamiiForums Tanzania Ujasusi wa Kiuchumi unavyombeba Bakhersa Group

    Safi sana Sent using Jamii Forums mobile app
  15. Donwise

    JamiiForums Tanzania Sababu za Makonda kuzuiwa kukanyaga Marekani, wapambe msipotoshe

    Hakuna kitu hapo maana hayo hayapo chini ya RC hakuja sababu ya kimsingi inayo muhusu makonda moja kwa moja zaidi ya ushoga. @Remote Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom