Eti tiss wanakaa na uvccm kutengeneza propaganda za kitoto hiviHivi karibuni tumeshuhudia wimbi kubwa la vijana wa CHADEMA nchini wakitofautiana kabisa na mawazo ya mwenyekiti wao wa Taifa, hii inakuja baada ya vijana hao kuona kuna haja ya Chama hicho kuanza kujitafakari chenyewe kwanza kabla ya kuanzisha vuguvugu la kudai katiba mpya ya nchi nzima. Suala hilo limekuja baada ya kuona mapungufu mengi ndani ya katiba ya CHADEMA ambayo ndiyo inayoongoza chama hicho chenye siasa za uanaharakati nchini...
Mmeisha feli