Kweli kabisa, maoni ya vijana wa shuleni ni maoni halisi,virgin, yanayoeleza what 'should be' kwani bado wanaishi kwenye dreams, hawajawa deformed na existing adult society. Maoni ya watu wazima yanaangalia kwanza reality, hivyo yanajengwa around reality, kwani tayari walishapoteza matumaini...