Augustine Moshi
JF-Expert Member
- Apr 22, 2006
- 2,556
- 1,383
Naona Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi ameshatoa bajeti ya wizara yake. Inapatikana hapa http://www.tanzania.go.tz/bspeech2006_07f.html
Itabidi tusubiri bajeti ya Wizara ya Sayansi na Elimu ya Juu (ipo tena kweli?) kabla hatujafahamu ni sehemu gani ya bajeti nzima ya serikali imeelekezwa kwenye Elimu.
Kwa sasa, inatosha kusema kwamba bajeti ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi ya sh. 239, 650,710,900 (roughly shilingi 240 billion ni 4.9%tu ya bajeti yote ya serikali ya Tanzania, ambayo ni shilingi trillion 4.85. Linganisha hii na bajeti ya Elimu ya Kenya ambayo kwa fedha zetu, ni shilingi trillion 1.485, na ni sawa na 27% ya bajeti yote ya serikali ya Kenya.
Itabidi tujadili hili jambo kwa undani. Haitoshi kusema tunakazania Elimu. We must put our money where our mouth is.