Hotuba za Rais kila mwezi

Je unaridhika na hotuba za Rais Kikwete?

  • Ndio

    Votes: 13 15.5%
  • Hapana

    Votes: 71 84.5%
  • SIJUI

    Votes: 0 0.0%
  • Sina jinsi

    Votes: 1 1.2%

  • Total voters
    84
  • Poll closed .
Si kama atakubali kusoma hizo hotuba anazoandikiwa! yeye anataka kuonekana kipanga kwa kutoa hotuba bila kusoma, matokeo yake ndiyo hayo uliyoyasema Jafar!
 
Salamu wanaforum mimi ninaomba kujua na mnieleweshe nimengalia na kusikiliza mahojinano ya JK ''CNBC TV'' kwa muda wa dakika sita, mwenye

hiyo VIDEO aiweke hewani basi tuirudie ,katika soko la hisa la NASDAQ STOCK EXCHANGE nchini marekani ''USA'' watanzania wengi waliyoiona

walisema mmmmhhhhhhh sikujua kama aliongea vizuri au aliharibu msaada kwangu jamani

''JK USHAURI'' Fazila ZINATOSHA MWAKA UMEISHA NA WANAZIDI KUKUARIBIA ni naona unazidi kuwateuwa na kuwahamisha kila siku
 
Salamu wanaforum mimi ninaomba kujua na mnieleweshe nimengalia na kusikiliza mahojinano ya JK ''CNBC TV'' kwa muda wa dakika sita, mwenye

hiyo VIDEO aiweke hewani basi tuirudie ,katika soko la hisa la NASDAQ STOCK EXCHANGE nchini marekani ''USA'' watanzania wengi waliyoiona

walisema mmmmhhhhhhh sikujua kama aliongea vizuri au aliharibu msaada kwangu jamani

''JK USHAURI'' Fazila ZINATOSHA MWAKA UMEISHA NA WANAZIDI KUKUARIBIA ni naona unazidi kuwateuwa na kuwahamisha kila siku

Iko hapa. Unaweza kuulizwa usign kwanza.
 
Hotuba ingine ya JK hii hapa. Huko St. Thomas Univeristy alipopewa ile Doctariate

[gv]-6724382465404081780[/gv]​
 
Coming back the main focus of this debate; I DO a see the difference between JK and BWM. However, in my opinion and by listening to Ali H. Mwinyi and JK there is no difference. They are both too shallow, low in strong points and emphasis and are very much interested in talking cheap politics. E.g.: I did listen to JK's speech on the issue of Darwin Nightmare documentary while he was in Mwanza...'am sure he; himself know that was such a cheap stunt to deny allegation of arms smuggling business. This kind of JK's tactics works to majority of low educated Tanzanians, but he should never expect that serious businesses and world leaders will take him seriously. After his time in office he will be forgotten in the world stage like yesterday's newspaper.

I do not see a CLEAR link between Good leadership and Intellectual, even thou they appear to have the same outcome. JK should invest and lot of his time and mind on learning how to become a good leader. If you guys will try to remember our great-grandparents were not Intellectuals, they were simply good leaders with courage to stand up to their ideas.

Being a good leader means that you can learn, adapt ideas and tactics from other individuals (intellectuals) and use that knowledge for the good of your people. However, good leadership is not something you learn once you become president of the country. These skills take years to build and master, I am sorry to say for JK it's a bit too late…(debateable).

So to JK, I will finish by quoting a phrase from one of my favourite movies "Higher Learning"…"Learn to become mentally competitive, because in the real world; there is no excuses". No excuses Mr President…step up your game.
 
I commend you JeiKei, for the video clips.. weldone.

Rais wetu anajiuma uma; with such a speech, no one would ever belive that our president spent three years studying economics, but als, our prs is said to be a learned economist! Insn't it?
How come he does'nt respond with critical economic points when asked to assure USA investors wether their investors' investments would payoff....?
 
JeiKei you have made me love this forum even more and more! Ila hizo speech mzee, uhhuu! Huyu bwana itabidi apigwe shule, maana yale majibu yake ule CBS leave a lot to be desired!
 
As far as CBS inteview goes even a non-intellectual individual would be able to detect LACK of preparation from JK. When asked about the population purchase power/ size of middle-class in Tanzania he went on to name like 10 or so of SADC countries. He's shallow and not confident enough; to be better prepared next time he should find a strong team to guide him through.
 
Mtanishangaza sana kama hamkuliona hili kwa JK tokea enzi za kampeni za kuwania Urais. Kama mtu alifuatilia hotuba zake kipindi kile ataona kuwa jamaa huyu ni bure kabisa na ndio maana aliishia kuahidi vitu kibao kila mahali. Kama hakuweza kuongea mbele ya maripota wetu wa kibongo aliokwisha watia mfukoni atatoa wapi ujasiri wa kufanya hivyo huko CBS tena kwa lugha ya mkoloni?
 
Kumbe huyu jamaa ni kilaza kwelikweli aisee; mwanzoni nilidhani watu wanamzulia. Tanzania tuna kazi kweli kweli. Kwa kweli hakufaa kuwa kiongozi mkuu wa nchi. Itabidi a neutralize kwa utendaji exceptional!
 
sina lawama na jk ila nyie mlio chagua,lazima watanzania mjifunze dunia inaenda kasi nchi hinahitaji rais anaye elewa mambo mengi kwa upana.
 
Ukiangalia mahojiano ya JK pale NASDAQ na ile mahojiano na BBC kule South Africa, utabakia kuwa kama "Baba na Mama Dogo" Catoon.

Hivi ni nani anayemuandikia JK hotuba??
 
tatizo ni jk mwenyewe. muandishi wa hotuba ni sawa na mpishi, huandaa mapishi ambayo bosi anayapenda.

jk alijitambulisha kama mtoto wa mjini, mtu wa vijiweni, sasa mnashangaa nini akitoa hotuba za hovyo hovyo?
 
Back
Top Bottom