Recent content by dokta lu

  1. D

    JamiiForums Tanzania Maandalizi ya tamasha kubwa la kufanya ngono nchini Uingereza yameanza, wakazi walalamika

    🤣🤣 Nimecheka sana peke yangu
  2. D

    JamiiForums Tanzania Amina Kyando hatakaa asahau hii mechi Biashara vs Tabora

    Kweli kabisa mechi ilikuwa ya vurugu kubwa. Penati ilitakiwa irudiwe kupigwa, mchezaji wa Biashara aliingia kabisa ndani ya box. Sio goli halali.
  3. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini Yanga icheze kesho na Simba keshokutwa?

    Dec 15 na 16 ni mbali sana ni zaidi ya mwezi. Ukweli Simba anabebwa sana na TFF na marefa wao akina Tatu mwalogo.
  4. D

    JamiiForums Tanzania Je, Japan ndiyo nchi inayoongoza kwa kuthamini Utu na Ubinadamu?

    Hao wanaong'oa vitini Makolo de wizard 😂
  5. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naona suala la michepuko linaonekana ni sawa kwa upande mmoja

    Hii Safi sana.
  6. D

    JamiiForums Tanzania Eti nyiee, Inakuaje matajiri wa JF wanaomba ajira za TAMISEMI?

    Kweli aisee.
  7. D

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa taratibu za kubadili kazi Ualimu kuwa Afisa Lishe

    Inawezekana sana. Ongea na DHRO wenu uandike barua ya kubadilisha muundo. Kama ikama haijatimia wanakubadilisha chapu.
  8. D

    JamiiForums Tanzania Rapa mpya kutoka A Town

    Uko vizuri sana , Toa mangoma yakutosha fanya promo.We si rapa mpya bro nakujua toka kipindi Cha Kings music enzi unajiita Pacha the great . Pia fanya ngoma na studio za Dar rahisi kupata featuring na wasanii wakubwa utatoka kiurahisi kipaji unacho sana. Kuwa serious na gemu Kama motraa utatoka.
  9. D

    JamiiForums Tanzania Nime sema Kulinganisha mayele na centre forward wengine kwenye league ya TZ nikumkosea mayele heshama

    Mayele anajua aisee. Hakuna Kama yeye. Bora tungempa uraia huyu jamaa sio Yule rasta wetu.
  10. D

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi ya miaka 59 toka Said Mwamwindi amuue RC Dkt. Kleruu siku kama ya leo mwaka 1971

    Asante. Nimepata mafunzo mengi.
  11. D

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwanachama mwenzetu Warumi afariki dunia akipatiwa matibabu Hospitali ya Taifa Muhimbili

    Mungu amuweke mahala pema peponi. Amini.
  12. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta tender za kutengeneza Milango ya Mbao za Mkongo

    Mpaka Arusha inakuwa Bei gani mkuu?
  13. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta tender za kutengeneza Milango ya Mbao za Mkongo

    Kitanda kama hiki Bei gani ?
  14. D

    JamiiForums Tanzania Time Travel Kwenye Ndoto

    Ukiweza Tena kufanya time travel nenda July 2021 uje na majibu sports pesa jackpot mkuu.
  15. D

    JamiiForums Tanzania Mwajiri ana haki ya kumlazimisha mwajiriwa kupima afya?

    Hawa wachezaji kuwapima Ni sawa tu. Wanavuta Sana bangi. Nahisi huyu jamaa wa Utelembwe De mapaka fc anavuta pia.
Back
Top Bottom