Naona suala la michepuko linaonekana ni sawa kwa upande mmoja

Mkuu, mwanzo wa penzi uwa ni mtamu....changamoto inakuja pale mnapokuwa ndani ya ndoa, kero za hapa na pale, uwongo, na vitu vingine vidogovidogo ambavyo vinakera na kuumiza mtu moyo. HAKUNA mtu anayekwenda kwenye ndoa akidhamilia kuchepuka, never.

Msingi wa yote ni mazungumzo tuzungumze hivyo ndivyo ndoani naishi
 
Kuna vitu havizuiliki waungwana hebu fikiria unahustle kwa ajili ya familia ulipe pango, ada, chakula , mavazi, mwamamke anenepe vizuri na nguo anamuachia dada wa kazi akufulie yeye anakaa tu na simu na TV alafu kitandani hana ubunifu hata kidogo how can you handle that?

Wanaume wengi wanacheat for the reason of balancing stress na kufukia madhaifu fulani, wewe kama mwanamke cheat kwenye mazingira hiyo kesho asubuhi nakuwahisha mbezi louis na shangazi kaja (china bag) yako urudi kwenu
Point murua kabisa,
Mwenye masikio na asikie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtoa mada sio mwanaume wakuu

Ungekuwa ni mwanaume ungejua nature ndio inafanya tuwe natural polygamist kamwe huwezi epuka nature
 
Mi binafsi nisha mcheat mkewangu tena sana tuu... kuna kipindi huyu mchepuko nlie nae alikuwa msaada sana kwangu kimawazo na hata kiuchumi.

Lakini mke yeye nikelele ndani mabishano ya kila mara mara malalamiko ya kila muda.Yaani ukirudi home mpaka unaondoka kwenda Job unashukuru.
Amini kweli nlikuwa na mawazo sana nikajikuta nimeangukia katika mchepuko ambae kweli niko nae mpaka sasa na mwenye uwezo tuu ma maisha yake basi kweli najiona mwenye faraja sanaa.Japo siri ni kubwa na mkewangu hafahamu.

Dada huyu tunapeana changamoto za maisha mpaka tunakopeshana pesa na tuna lipana kwa wakati...Basi mwenzenu amekuwa bonge la faraja kwanguu.

Kuna kipindi alinisaidia sana katika wakati mgumu muda huo Wife hajui chochote kabisaa.

So si kila mchepuko ni hasara
 
Km unampenda kweli muoe
 
Mpe mkeo talaka, muoe mchepuko uishi kwa amani na mafanikio.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpe mkeo talaka, muoe mchepuko uishi kwa amani na mafanikio.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana siwezi acha mkewangu...
Ila tuu ujue maisha ndo ya livyo hayana fomula maalum.Tizama dada wawatu nipo nae bila shida na anajitambua az if mke asee.Na uwezo wa kula na kuvaa anao.Hana tabia za kimalaya kama wanawake wengine kubwa zaidi hana majivuno kama niwaonavyo wengine.
Huu mchepuko huwa una nifanya niwe na fikiri sana zaidi na zaidi katika maisha.
 
Mkeo alikuwa na makelele au hayo mapungufu unayoyaona sasa hivi; kabla hamjaoana? Qidee mahusiano ya kuchepuka/dating ni matamu sana. I wish ungeuoa huo mchepuko afu uje utupe mrejesho wa maisha yenu ya ndoa
 
Mkewangu wakati wa uchumba kabla ya ndoa alikuwa mtu mzuri na mstaarabu sanaa.
Mwenye kuwapenda ndugu zangu hakika nisemacho.
Ila baada ya kumuoa kweli amebadilika sanaa na amekuwa mtu wa kulalama.Mfano tuu nataka kumbatiza mtoto kila kitu ana panga yeye na kujichukulia maamuzi tuu yake mwenyewe.
Na hii baada ya kuchuma nae mali basi amekuwa kama limbukeni kiasi kwamba anaona wasio na mali/kitu hawana akili.

Mi nasonga mbele tuu... Nimepata faraja yangu ya siri na kweli si mfichi kitu na amekuwa mstari wa mbele kwa kila kitu kwangu.
Ndo ivyo bhana
 
Hapana siwezi acha mkewangu...
Ila tuu ujue maisha ndo ya livyo hayana fomula maalum.Tizama dada wawatu nipo nae bila shida na anajitambua az if mke asee.Na uwezo wa kula na kuvaa anao.Hana tabia za kimalaya kama wanawake wengine kubwa zaidi hana majivuno kama niwaonavyo wengine.
Huu mchepuko huwa una nifanya niwe na fikiri sana zaidi na zaidi katika maisha.
Muoe huyo wa pili ya Kiserikali
 
Back
Top Bottom