Recent content by Doc

  1. D

    Ushauri: Nimegundulika kuwa na High Blood Pressure. Je, nifanyeje kuhimili hali hii?

    Kama ulienda hospital hukupewa ushauri huko kwani?.anyway..kama umegundulika una pressure ya juu(sijajua ilikuwa juu kias gan kutoka kiwango cha kawaida).ushauri ni kupunguza stress.kupunguza matumiz ya chumvi(muhimu sana )kutovuta sigara.kupunguza pombe..kufanya mazoez..kama pressure haiko juu...
  2. D

    Mwanafunzi mwaka wa 5 MUHIMBILI ajiua

    afu we tofali unaongea kama una uhakika vile..umetoa wap hizo taarifa kwamba amefariki.kuwa na uhakika kwanza sio unaropoka vitu serious kirahisi tu.
  3. D

    Angalizo kwenu . . .

    Na ubinadamu(utu) ukikutoka je?.....
  4. D

    Madaktari na serikali kuanza mazungumzo wiki ijayo

    ok,lets hope the best comes out of this,not another drama..
  5. D

    B.Sc HUMAN NUTRITION ina uhusiano na udaktari?

    ya inauhusiano hasa katika swala la tiba lishe hapa Tanzania inapatikana SUA.
  6. D

    Falling in love...

    Daah LIZZY noouuma..nakukubali yan..thread zako zinahusika kichiz.thanks for that!
  7. D

    Umeme umezima kote?

    Muhimbil umezima
  8. D

    kwani mimi nikikugusa au kukushika mkono unapungukiwa nini?

    Kaazi kwelikweli..heshima mbele mapenzi nyuma
  9. D

    Nikikupa Millioni 20 Utazifanyia nini?

    Duh kwaiyo umeoa na kuolewa au?
  10. D

    Pamba za masikio ni mbaya.

    Mimi mwenyew kuna mda mackio yalkuwa yanasumbua sana na kujaa wax,nlitumia sana hizo pamba plus boric acid lakn wapi..mpka cku prof wang alipotutolea mfano darasan kuwa "ng'ombe pia wanatoa wax lakin ushawah muona ng'ombe anachonoa maskio yake na pamba?"..tokea hapo nikaachana na pamba.mpka leo...
  11. D

    doctor saidia hapa please

    Kawaida hiyo,kuna homornal changes ambazo zinapelekea hali hiyo kwa kina mama waliojifungua/miez ya mwanzo kwa mama anayenyonyesha!
  12. D

    The Fall of the United States

    Duu,balaa
  13. D

    Ministry of health post graduate sponsorhip-list is out

    Ivi ni kigezo(vigezo) gan vya msingi wanavyozingatia MOH mpaka wakupe sponsorship..kwa anayefaham tafadhal
  14. D

    ..ni gharama saaana kuanzisha uhusiano mpya!

    Wala hakuna gharama kama ukipenda..kwanza raha 2 wen starting a new relationship..ful raha especialy kama umepata kweli unachohitaji(mpenzi)
  15. D

    Kaolewa ila ananitaka nifanyeje?

    <br /> <br /> sawa kabisa,umesema safi apa..
Back
Top Bottom