Mwanafunzi mwaka wa 5 MUHIMBILI ajiua

Mwanafunzi mwaka wa 5 MUHIMBILI ajiua

Mkopo wenyewe wa kuwawezesha wasome unatolewa kwa mbinde, sembuse huduma kama hizo.
Ila twende mbele turudi nyuma, shule ya Medicine imesimama aisee...

Hivi siku hizi wanafunzi hawapangiwi mentors and carreer counsellor? Walikuwa watu muhimu sana kwa kuelekeza na kutia moyo.
 
afu we tofali unaongea kama una uhakika vile..umetoa wap hizo taarifa kwamba amefariki.kuwa na uhakika kwanza sio unaropoka vitu serious kirahisi tu.
 
naamini mungu na ubongo wangu hauwezi nifikisha hapa ambapo wengine wanafikiria ndio mwisho wa matatizo!!!!
the will of God will never take me where his grace cannot protect me
 
Hivi siku hizi wanafunzi hawapangiwi mentors and carreer counsellor? Walikuwa watu muhimu sana kwa kuelekeza na kutia moyo.

Nilipangiwa Academic Advisor (jina nimelihifadhi), lakini nilimaliza chuo bila kumwona.
 
wanaojiua wana mioyo ya aina gani?huwa napita kwenye valleys na hills,ila kamwe sijawahi fikiria kujiua
 
wanaojiua wana mioyo ya aina gani?huwa napita kwenye valleys na hills,ila kamwe sijawahi fikiria kujiua

wee acha tu nadhani kujiua ni roho kamili toka kwa lucifa
Siku moja 2010 niikuwa tmk hosp, namwona ndugu yangu amelazwa. Mara akaletwa dada mmoja anasukumwa na kijana..kijana amekasirika sana anamvuta kwa hasira, anasema eeh wee unataka kufa halafu unatusumbua wenzio...halafu kila anapopita kinyesi kama cha kuhara kinabaki nyuma....so kinamchafua kaka anayemkokota. then wakafika kwa manesi ..manesi wakamwelekeza amlete kwenye kitanda...yule kaka aliendelea kumtuka mgonjwa....dadad analia kwa maumivu makali maneno anayotamka huwezi kuyaelewa.....alipofikishwa wagonjwa wengine wakawa wanacheka,..wanasema kachoka kula dagaaa na ugali huyo ..looh dunia tamu hivi unataka kufa looh
1) niliumia sana kwni nilidhani mgonjwa hata kama alia tempti kujiua bado alihitaji huduma nzuri, upendo na sio kubezwa
2) hali aliyokuwa nayo ilikuwa mbaya....wagonjwa wengine kumcheka KILINIUMA SANA SANA
3) KIBAYA ZAIDI KESHO YAKE NILIPATA TAARIFA KUWA YULE DADA YUPO ANAENDELEA VIZURI NA AMESEMA KUWA MUME WAKE NDIYE ALIYEMNYWESHA SUMU NA KUMFUNGIA NDANI MPAKA ALIPOOKOLEWA NA YULE JIRANI ALIYEDHANI AMEJIUA MWENYEWE. mpaka muda huo mue wake alikuwa ametoroka na hajulikani halipo

hii habari ni moja ya matukio yaliyowahi kuniumiza sana sana

mix with yours
 
Inaaminika, binadamu anapofikia uamuzi wa kuyakatisha maisha yake, anakua ameathirika mentally i.e hana uwezo wa kuchambua zuri na baya.
so survivors wa suicide ni watu wa kuhurumia na pia wanahitaji msaada mkubwa psychologically na sio kulaumiwa au kuchekwa. Inabidi tuelewe sio binadamu wote wanauwezo wa kukabiliana na chellenges ngumu za maisha.

attempted suicide in most cases is a call for help.
 
Hao mentors ni bahati sana kuonana nao. Unaweza ukaanza chuo mpaka unamaliza humjui hata kwa sura mentor wako. Nilimpenda sana Prof. Kaaya yeye alikua anafanya juhudi binafsi kuwatafuta watu wake na kuongea nao friendly na kujua shida zao kabla ya kupatwa na matatizo.

Hawa mentors kazi bure tu, wengi wao kama 99% hawana msaada wowote kwa wanafunzi waliokabidhiwa. sasa wa nini?
 
Inaaminika, binadamu anapofikia uamuzi wa kuyakatisha maisha yake, anakua ameathirika mentally i.e hana uwezo wa kuchambua zuri na baya.
so survivors wa suicide ni watu wa kuhurumia na pia wanahitaji msaada mkubwa psychologically na sio kulaumiwa au kuchekwa. Inabidi tuelewe sio binadamu wote wanauwezo wa kukabiliana na chellenges ngumu za maisha.

attempted suicide in most cases is a call for help.

Umenena, level of isolation inakuwa kubwa to the extent kwamba mbele haoni kitu. hawa watu akili zinakuwa mbali kuliko tunavyodhania, wanahitaji tiba ya kisaikolojia kuliko tunavyodhania.
 
Hivi siku hizi wanafunzi hawapangiwi mentors and carreer counsellor? Walikuwa watu muhimu sana kwa kuelekeza na kutia moyo.

Oh King'asti, you remind me of my college mentors. They were my family and friends aisee...it really helped.

Sisi tulikuwa na wa aina mbili:
1. Student mentor: namkumbuka Mzimbabwe mmoja anaitwa Evans Hazviperi Katanga hadi kwenye harusi yake nilikuwa one of his groom's men

2. Lecturer mentor: Prof. Mark Ellen Pitts sasa yupo Point Loma Nazarene University.

Good old days back in college bana...will forever remember them.
 
Last edited by a moderator:
Hawa mentors kazi bure tu, wengi wao kama 99% hawana msaada wowote kwa wanafunzi waliokabidhiwa. sasa wa nini?

Ohh kidumu changu, habari yako na ya urembo wako. Kwanza nimekumiss.

Pili, umesoma chuo gani hicho ambacho mentors ni kazi bure?
 
Ohh kidumu changu, habari yako na ya urembo wako. Kwanza nimekumiss.

Pili, umesoma chuo gani hicho ambacho mentors ni kazi bure?

Nimenuna, sikutaki tena uwe kidumu changu.....ulinikana mbele za watu kule chit chat na mimi ninakukana mbele za watu. Nimefunga vioo. Nimesoma UDSM.
 
Nimenuna, sikutaki tena uwe kidumu changu.....ulinikana mbele za watu kule chit chat na mimi ninakukana mbele za watu. Nimefunga vioo. Nimesoma UDSM.

Quote me one post niliyoandika kukukana...just one na mimi nitaomba msamaha hata kama hutonirudia na nitalikupa fidia kwa kukusababishia msononeko wa moyo!!!

UDSM mlikuwa na student mentors na lecturers au?
 
Yes, kila mmoja anapatiwa kama 3-5 students wa kuwaangalia. Hao hao lecturers walitumika kama mentors lakini si lazima awe kutoka department yako. Mimi wangu`alikuwa from linguistics department.

Kuhusu ukidumu, nilikuita jana uchague mmoja tu kwenye ile saccos yako lakini hukufanya hivyo. Huko ndio kunikana kwenyewe. Au kukana hadi uweke mabango?
 
Cmon, I was busy as I have been today...mamii natafuta verossa try to understand mpaka lini nije kuku-pick na bajaji!??
 
Cmon, I was busy as I have been today...mamii natafuta verossa try to understand mpaka lini nije kuku-pick na bajaji!??
So ukitafuta Verosa mimi ndio nisijibiwe? ndio nishakuacha hivyo. Nitafanya juu chini uachwe na sacos nzima.
 
Siku hizi wanafunzi chuo ni wengi kiasi kwamba hata mentors hawana nafasi kuwapa mawaidha. Wewe lecture yuko busy na wanafunzi 400 kazi kubwa. Mitihani yenyewe nasikia na multiple choice, hasa UDSM!! Kwingine sina hakika. Worklod is too much for them to accomodate any mentoring. Kwa hiyo kwa Muhimibili na masomo yalivyo magumu, I can imagine hali ngumu kwa wanafunzi, leaving apart other social causes of suicide. In my times, had only 30 students and each mentor to about 3-4 stundents, It was managable!! Poleni Muhimbili.
 
Back
Top Bottom