kwani mimi nikikugusa au kukushika mkono unapungukiwa nini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kwani mimi nikikugusa au kukushika mkono unapungukiwa nini?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by figganigga, Oct 1, 2011.

 1. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #1
  Oct 1, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,971
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
  JF member mzima na ukubwa wote unaogopa nisikushike mkono kisa eti kuna watu unaheshimiana nao.wewe ni mpenzi wangu ni haki yangu kukushika mkono,kiuno,kukuwekea mkono begani n.k.sasa kwanini ukubali kutoka na mimi kama unaogopa kukaa na mpezio?sijajua dhamila yako.kama una figganigga mwingine bora useme mapema nisepe.mimi mapenzi ya siri siyawezi.na huu ndo mwanzo ntaendelea kukushika kila ninapojiskia.ujumbe umefika.mia
   
 2. M

  Magoo JF-Expert Member

  #2
  Oct 1, 2011
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 438
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Mulikaaa mwizi
   
 3. D

  Doc Member

  #3
  Oct 1, 2011
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 38
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Kaazi kwelikweli..heshima mbele mapenzi nyuma
   
 4. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #4
  Oct 1, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  "Bora kupita kama hujapita".
  Source,- ashadii
   
 5. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #5
  Oct 1, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,506
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  bwana weeh, tangaza nia tu hapo. manake mapenzi yenyewe hayana insurance, usije ukamfanyisha show kila mahali afu ukimuacha kwenye mataa unakua ushamuulia soko!
   
Loading...