Kaolewa ila ananitaka nifanyeje?

Nadhan hujampenda huyo Dada..
Wala usingekuja kuomba ushaur hapa kama na ww ungekuwa unampenda...
So, usifanye mapenz na mtu usiempenda, be strong aisee!...

kuna mdada tupo nae ofis moja , yy kaolewa mi sijaoa na sina mchumba wa kueleweka, YY kila wakati huwa anataka amfaham mchumba wangu, ila kwa sababu tunaheshimiana nilimwambia ukweli sina mchumba wa uhakika, ila kuna mahali huwa nazjipooza hali ikiwa mbaya.Haikuwa taabu ila sasa hiv kaja kivingine mara ananiambia mi mtoto mdogo sana siwez mambo hata akinipa nitachemsha mi nikafikir ni masihara, ila sasa hiv anataka kabisa nikampe majamboz, sasa nifanyeje? niuchune au nimwonyeshe kuwa mi ni kijogoo?wana jf naomben mchango wenu

sounds like a narrative of a serial heartbreaker.........................................or a jawbreaker too...........

Kama mdada analipa, Nenda kapige mambo wewe,
mme mme nini,atapat mwingine anayempenda so huyo dada acha apate anachopenda bila kufungwa asikoona raha ya maisha,

Hawa vijana wa siku hizi....mmhhhhhh....Mungu pekee ndiye anajua!

Babu DC (1947)

Wamesema,
1. "Mke wa mtu ni sumu"
2. "Kula Uliwe"
3. Utapigwa mkia.
4. "we kula tu lakini ukikamatwa mie simo"

Mie nadhani mkuu onesha uanaume wako kuwa unamsimamo, uanaume sio kujirahisi kiivo, kumbuka "majuto ni mjukuu" Achana na huyo shetani wa kike atakuhamisha mji wakati bado unaupenda...

Wamesema,

1. "Mke wa mtu ni sumu"

2. "Kula Uliwe"

3. Utapigwa mkia.

4. "we kula tu lakini ukikamatwa mie simo"

Mie nadhani mkuu onesha uanaume wako kuwa unamsimamo, uanaume sio kujirahisi kiivo, kumbuka "majuto ni mjukuu" Achana na huyo shetani wa kike atakuhamisha mji wakati bado unaupenda...

wana jf nashukuru sana kwa michango yenu coz msimamo wangu ilikuwa nimpotezee, akazid kunizongazonga, inafika point ananiambia siwez kumdu mpaka alie, nikafikir anachezea chuma chakavu ngoja nimpatitie anacholilia ili aniheshim, ila ninapofikiria kuwa ni mke wa m2 ndo moyo unasita. Ila nimekata shaur potelea mbal anione mi ***** tu nampotezea, bora niendelee na maisha yangu nikiwa na furaha kuliko starehe ya 5-6hr inifanye nikose aman maishan' nyama ni ile ile ila butcher tu tofauti'

Kaaazi kweli kweli,HARAMU zote ndio tamu...kama vipi nenda kapige gemu ila legeza mziki ili maneno yake ya kuwa huwezi yatimie ili asikusumbue tena kijana..Ila kama nawewe unataka,sema tu na sio kuomba ushauri wakati majibu tayari unayo..

Mi ndio maana nasemaga siku zoote cheating inaanziaga kwenye utani. Mambo ya ooh tunatanianaga. Mmeona huu ni mfano live.

Alamba aaaammm...aaammm alamba tena aaammm...aaamm.tamaa mbele maut nyuma.chunga

Dogo nadhani ujumbe umeupata, kama wewe kijogoo kweli songesha, ukija kojoa dagaa wala uctuombe msaada!
Shika lapa mkononi..

Kunja miguu ya suruali.

Kata mbuga.. ...

Acha kumchekea chekea...

afu unaweza kuta huyo mdada ni mke wa mwana JF hapa,afu huyo mwana JF bila kujua anakushauri we piga tu dogo Hahaaaaaaaaaaaa...Me nasema hivi we piga kijana (sijaoa infact)

ndugu mke wa mtu usijaribu unaweza dharilika sana tafuta wasichana ni wengi tu huwezi jua mengi yamejificha

Back
Top Bottom