asante kwa kutambua hilo ila ni huyohuyo mke wng au demu coz nakaa nae ila sijafunga nae ndoa be blessed n' you
Bora umevunja ukimya, kitaluuma mimi ni Dr. na mwanzo nilidhani shida zote zinazoandikwa hapa ni za kweli hivyo baadhi nilijitahidi kutoa ushauri na bado naendelea. But nimegundua wengi wa wanaoomba ushauri huwa hawana hizo shida, na tena nimegundua baadhi yao hata huwa hawafuatilii japo kwa kuusoma tu ushauri uliotolewa!!!ni kawaida hiyo isikupe shida
btw..ulisema kuna demu ukiduu naye unaamka na bonge ya headache,sitaki kuamini mambo mawili hapo:
1. Ulimuita mkeo demu
2. Ulicheat ndani ya miezi mitatu tangu mkeo ajifungue
either of the two is not good at all at all oh!
take good care of your self and family
Be Blessed.
asante kwa kutambua hilo ila ni huyohuyo mke wng au demu coz nakaa nae ila sijafunga nae ndoa be blessed n' you
Daugther pozi lako nimelipenda mbaya, hope unafaa kunonino. may i have you phone number please?