KWA WALE WA DAR ES SALAAM MCHAKATO UNAENDELEA SIKU YA JUMATATU NDIO SIKU YA KUJUA MBIVU NA MBICHI KWAN NDIO SIKU AMBAYO IMETOLEWA TAARIFA KUWA MAAFISA WA JESHI KUTOKA MAKAO MAKUU WATAWASILI WAKIWA NA MADAKTARI PALE WILAYANI.
MUNGU WASAIDIE VIJANA WAKO NA WAONGOZE
Kama kichwa kinavysema kuna ujumbe unatumwa kutika tigo ulio kibiashara zaidi
NANUKUU
Karibu Simu Expo tukupe simu Orijino BURE! Ni tar 11-12 June Viwanja vya Posta kuanzia saa 3 asubuhi hadi 12 jioni. Tigo Live It Love It
Ujumbe huu unampa mashaka yule anayetumia hiyo simu kwa kuwa unaweza...
Mpaka mdaa huu dar bado mambo magumu hakuna mwenye ahueni kila mtu tumbo joto watu wameambiwa warudi kitaka wilaya zao hivyo leo unasikia hili kesho unapewa lingne.
Mpaka sasa dar kila mtu
Tafsiri yake ni kwamba uwepo wa reserve kupita ni pale wale wa mwanzo watakapokuwa hajavifi kwenye vipimo vya mwisho ya ngazi ya mkoa
Daaaah
BC saw mm jina langu lina djblack lilitokana
Nilipokuwa naishi kuna rafiki yangu alifungua library halafu katika maswala ya mziki aliweka subfa moja matata sana so huwa nikiwa kwenye machine napiga radha mbalimbali mpaka watu wakawa wanakuja maeneo hayo kusikiriza miziki tofautix2...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.