Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

hali ngumu kweli wengine tunaambiwa tarehe 21 mwezi wa 7 wengine wanasema mwezi WA nane kuripoti kambini sasa sijui tuelewe kipi hapa kwa anayejua tarehe ya kuripot msaada jamani
 
MAFINGA kambi kuntu kivipiii MKUU tuambie
ngoja nikusaidie, jkt mafinga kj 841 sio pa mchezo kabsa wanaeneo kubwa kweli yaani ukubwa wake ni sawa na kutoka kibamba hadi kigamboni, kile ni kikosi cha adhabu, baridi lake ni adhabu tosha muda mwingine baridi linakuwa kali mpk unababuka usoni mble ukungu. Ukipangiwa jkt mafinga kj 841 utapitishwa shule yao ya jeshi kawawa jkt secondary school wanaenda kukutoa umaarufu mbele ya wanafunzi wa shule ya kawawa wawaone kwenye matope yaliyochanganyikana na ukoko ktk mfereji wa jiko la shule. ukitoka hapo unakuwa km zombi vile. kule mtapitishwa pipeline, kinyanambo,lungemba, mafinga stand,sao hill, changarawe hayo lazima mtapitia maeneo. kule mtakutana na luteni kanali hamis mahiga(alikuwa mkuu wa shule ya kawawa), huyu ni mkurya wa kutoka bunda ni master wa kuwatoa watu umaarufu anachapa hadi masikio...sema msiogope ila baridi la kule asikuambie mtu ni kali sana, yaani sitokuja kuishi mafinga baridi miksa umande nouma
 
Uku dar huku nahisi kuna kajip ... Ndo nimeamin mana.. Ukute majina ya selected yasharud makao.. Sema wanafata wakib tu.. . Dah
 
ngoja nikusaidie, jkt mafinga kj 841 sio pa mchezo kabsa wanaeneo kubwa kweli yaani ukubwa wake ni sawa na kutoka kibamba hadi kigamboni, kile ni kikosi cha adhabu, baridi lake ni adhabu tosha muda mwingine baridi linakuwa kali mpk unababuka usoni mble ukungu. Ukipangiwa jkt mafinga kj 841 utapitishwa shule yao ya jeshi kawawa jkt secondary school wanaenda kukutoa umaarufu mbele ya wanafunzi wa shule ya kawawa wawaone kwenye matope yaliyochanganyikana na ukoko ktk mfereji wa jiko la shule. ukitoka hapo unakuwa km zombi vile. kule mtapitishwa pipeline, kinyanambo,lungemba, mafinga stand,sao hill, changarawe hayo lazima mtapitia maeneo. kule mtakutana na luteni kanali hamis mahiga(alikuwa mkuu wa shule ya kawawa), huyu ni mkurya wa kutoka bunda ni master wa kuwatoa watu umaarufu anachapa hadi masikio...sema msiogope ila baridi la kule asikuambie mtu ni kali sana, yaani sitokuja kuishi mafinga baridi miksa umande nouma
Ukipita Mafinga bila Kujongo wewe ni Mjeshi Tosha
 
vijana tulikuwa tunasubiri pesa ya bajeti yetu jkt iwekwe hazina sasa imeshawekwa so mjiandae wakat wowote kuanzia sasa...waziih..mnaitikia wazi afande!!! sawa?
 
kama maisha yamekupga ukaamua kuja huku hakika utaweza lkn km home umeacha nyumba 4 magari 8 housegirl mashamba hakika huku hapakufai utatoroka tu, huku tunataka watot wa maskini
12592380_1584767105185217_7496274803966974727_n.jpg
12974533_1585401268455134_4548888357224326474_n.jpg
12991087_1585459841782610_7829316391221467685_n.jpg
12993475_1587534671575127_5535599728632694721_n.jpg
13001260_1584180148577246_5400382232820205478_n.jpg
13007383_1585450251783569_705351158250729977_n.jpg
13119118_1596558777339383_4954687478813899263_n.jpg
13178532_1602208073441120_8151222092938972677_n.jpg
13319949_1609149456080315_4662872521070657202_n.jpg
13332981_1613878342274093_8876234807572044796_n.jpg
13407005_1617704831891444_6646377674279184296_n.jpg
13423744_1617788281883099_892687697071703201_n.jpg
 
ngoja nikusaidie, jkt mafinga kj 841 sio pa mchezo kabsa wanaeneo kubwa kweli yaani ukubwa wake ni sawa na kutoka kibamba hadi kigamboni, kile ni kikosi cha adhabu, baridi lake ni adhabu tosha muda mwingine baridi linakuwa kali mpk unababuka usoni mble ukungu. Ukipangiwa jkt mafinga kj 841 utapitishwa shule yao ya jeshi kawawa jkt secondary school wanaenda kukutoa umaarufu mbele ya wanafunzi wa shule ya kawawa wawaone kwenye matope yaliyochanganyikana na ukoko ktk mfereji wa jiko la shule. ukitoka hapo unakuwa km zombi vile. kule mtapitishwa pipeline, kinyanambo,lungemba, mafinga stand,sao hill, changarawe hayo lazima mtapitia maeneo. kule mtakutana na luteni kanali hamis mahiga(alikuwa mkuu wa shule ya kawawa), huyu ni mkurya wa kutoka bunda ni master wa kuwatoa watu umaarufu anachapa hadi masikio...sema msiogope ila baridi la kule asikuambie mtu ni kali sana, yaani sitokuja kuishi mafinga baridi miksa umande nouma
Mungu wanguuu mbona ndio nimepangiwa hukooo??mungu atusaidie woote tunao enda kambi hiyo atupe moyo wa uvumilivuu
 
kama maisha yamekupga ukaamua kuja huku hakika utaweza lkn km home umeacha nyumba 4 magari 8 housegirl mashamba hakika huku hapakufai utatoroka tu, huku tunataka watot wa maskiniView attachment 357441 View attachment 357442 View attachment 357443 View attachment 357444 View attachment 357445 View attachment 357446 View attachment 357447 View attachment 357448 View attachment 357449 View attachment 357450 View attachment 357451 View attachment 357452
Tutaweza Mungu yupo na sisi
 
a
ngoja nikusaidie, jkt mafinga kj 841 sio pa mchezo kabsa wanaeneo kubwa kweli yaani ukubwa wake ni sawa na kutoka kibamba hadi kigamboni, kile ni kikosi cha adhabu, baridi lake ni adhabu tosha muda mwingine baridi linakuwa kali mpk unababuka usoni mble ukungu. Ukipangiwa jkt mafinga kj 841 utapitishwa shule yao ya jeshi kawawa jkt secondary school wanaenda kukutoa umaarufu mbele ya wanafunzi wa shule ya kawawa wawaone kwenye matope yaliyochanganyikana na ukoko ktk mfereji wa jiko la shule. ukitoka hapo unakuwa km zombi vile. kule mtapitishwa pipeline, kinyanambo,lungemba, mafinga stand,sao hill, changarawe hayo lazima mtapitia maeneo. kule mtakutana na luteni kanali hamis mahiga(alikuwa mkuu wa shule ya kawawa), huyu ni mkurya wa kutoka bunda ni master wa kuwatoa watu umaarufu anachapa hadi masikio...sema msiogope ila baridi la kule asikuambie mtu ni kali sana, yaani sitokuja kuishi mafinga baridi miksa umande nouma
acha zako mkuuh kwani kwenye baridi watu hawaishi...? kambi ya kawaida sana ile wakuu
 
Uzuri wa mafinga mnavaa full kombat zile za karanga mwanzo mwisho, hamtavaa vibukta na vi tshirt kama wakambi zingine, vilevile hadi mizula mnaruhusiwa.
nimeishi kidogo pale mafinga nimeona hilo.
 
Back
Top Bottom