Tigo-Mnawachanganya watania na huu ujumbe wenu ikiwa tcra wameshatoa muongozo juu ya simu feki

djblack

Member
Feb 16, 2016
25
23
Kama kichwa kinavysema kuna ujumbe unatumwa kutika tigo ulio kibiashara zaidi
NANUKUU

Karibu Simu Expo tukupe simu Orijino BURE! Ni tar 11-12 June Viwanja vya Posta kuanzia saa 3 asubuhi hadi 12 jioni. Tigo Live It Love It

Ujumbe huu unampa mashaka yule anayetumia hiyo simu kwa kuwa unaweza kulenga wale wenye simu feki wakati si kweli naomba TIGO mrekebishe hili.

Mamlaka ya mawasiliana imeshatoa muongozo wa kutuma IMEI za simu kwenda namba 15090 kutambua aina za simu tulizo kuwa nazo lakini utumwaji wa sms kama hii utaleta sitofahamu kwa wasio tambua kujua simu feki
 
Hili swala sio tiGO tuu bali mitandao yote kuanzia Airtel mpaka Vodacom,TCRA inabidi iingilie kati kwenye huu utapeli na usumbufu unaofanywa na haya makampuni wanatuma SMS za kukwambia kuwa simu yako ni fake uende kwenye Shops zao ununue simu Original.
 
Back
Top Bottom