Unalipenda jeshi??OK ,,tnx baada ya private ni baada ya muda gan unaenda kusomea cheo kingine
Utaanza na U PrivateWakuu nisaidien hil,,,nmepangiwa 842 kj nna elimu ya form six,,, nikifanikiwa kwenda jwtz,,naanza na cheo gan
Wasalimie huko SongeaWakuu nisaidien hil,,,nmepangiwa 842 kj nna elimu ya form six,,, nikifanikiwa kwenda jwtz,,naanza na cheo gan
Utaanza bila cheo.privateWakuu nisaidien hil,,,nmepangiwa 842 kj nna elimu ya form six,,, nikifanikiwa kwenda jwtz,,naanza na cheo gan
Form Six matokeo yako yalikuaje?Wakuu nisaidien hil,,,nmepangiwa 842 kj nna elimu ya form six,,, nikifanikiwa kwenda jwtz,,naanza na cheo gan
duuuh kweli nouma wafnye fasta aseeWakuu nisaidien hil,,,nmepangiwa 842 kj nna elimu ya form six,,, nikifanikiwa kwenda jwtz,,naanza na cheo gan
Ataanzia KURUTI, kisha TS then private kama hatopiga shortcutUtaanza na private.
Mkuu homgera,kwa elimu uliyonayo utakuwa Private hayo mengine baadae wazi???Wakuu nisaidien hil,,,nmepangiwa 842 kj nna elimu ya form six,,, nikifanikiwa kwenda jwtz,,naanza na cheo gan
nimekusoma mkuu, ila nasikia magereza wamepunguza muda kozi baada ya vijana kupitia jkt.Hakunankazi ngumunwala komplijeshennkatikamutendaji,so unalilax mda mwingi pia kupanda vyeo ni chap ukiwa na sifa
aje tu namsubiria huku mlale mm ndo MP wa jeshi A.K.A minya popoteWasalimie huko Songea
Huyo mkenya alivaa combat za mme wake na alishafukuzwa kazi huyo mume wakeView attachment 365624 da hivi huyu alipiga kozi kweli?
hahahahaaaa hamna utu nyinyiaje tu namsubiria huku mlale mm ndo MP wa jeshi A.K.A minya popote
Haina muda maalumu inategemea na mahitaji na vigezo vyako pia.OK ,,tnx baada ya private ni baada ya muda gan unaenda kusomea cheo kingine