Ing'ang'a
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 1,866
- 1,284
Kwenye interview ya Mkoa Tuko wachache Sana na Bado Nyabhatimbaru(Panga la maana) litapita katikati.Ilikuwaje Mkuu
Kwa Dar Bado zoezi tight.
Kwenye interview ya Mkoa Tuko wachache Sana na Bado Nyabhatimbaru(Panga la maana) litapita katikati.Ilikuwaje Mkuu
Mkubwa bado .Vp mkuu makanya jr.. Ushaanza kuaga ha ha ha .. Naombeni tathmin ya usail kwa ujumla mana sisi wa singapore a. K. a Singida mzigoni wiki hii ila tarehe rasm bado
laki 6 mbona huruma inakua imetumika
Ha hanha ha hame sitaki hela nyingi laki 6 tu natoa fomu,,!' itabid utume kwanza advance[emoji4]
tushachukua kwa laki 8 tayar tutakutana hukohukome sitaki hela nyingi laki 6 tu natoa fomu,,!' itabid utume kwanza advance[emoji4]
tushachukua kwa laki 8 tayar tutakutana hukohuko
Ah ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha!!!Degree Holders tena waulize Ilala au Temeke nn kimekua aibu!!.
Mkubwa Sasa tunaogopana ujue wale tulobakia , coz hatujui Nani anasepa.Ah ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha!!!
Ah ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha!!!
Tupo mkuu tunawasubili mkoani (Kagera) baada ya geita next weekJukwaa limepoa sana especially kwa wale degree holders na masters holders mbwembwe nyingi sana
Hongereni jiandaeni.kula kwa Jasho kwa kupiga pushupTupo mkuu tunawasubili mkoani (Kagera) baada ya geita next week
Haina shida mkuu ...tumejianda vizuri...na kwa mapenzi ya Mungu tutatoboa[emoji120] [emoji120]Hongereni jiandaeni.kula kwa Jasho kwa kupiga pushup
asante mkuu kila lakhel na wweHongera mkulu.kila la heri
Jifunzeni Kula Kwa JashoHaina shida mkuu ...tumejianda vizuri...na kwa mapenzi ya Mungu tutatoboa[emoji120] [emoji120]
Kwani baada ya kuwatenga original na wale reserve nini kinafuata??