west2016point
Senior Member
- Feb 28, 2016
- 152
- 61
jaman iv inakuwaje kama mtu cku ya vipimo hajahudhuriaa??je kuna utaratibu wowote ulee
Reserve atakava nafasi yako alaf ndio ntolee hyojaman iv inakuwaje kama mtu cku ya vipimo hajahudhuriaa??je kuna utaratibu wowote ulee
Asante kaka,,,kwaiyo mpaka tarehe 30 june watakuwa wameondoka???
Sawa mkuu usisahau kunichekpoa mkuu nitaku PM, mkuu maswali wanayouliza ni yakutaka kuhakikisha kama kilichopo kichwan kinaendana na vyeti vyako. mfano anaweza akakuuliza Financial accounting ulipata alama gani? au akakuhoji sheria ya mirathi ya mwaka flan inasemaje nk kikubwa ni atakuuliza maswal ya kwenye proffessional yako au sometimes maswal yakukutega akili tu.
Hongera sanaHa! ha! Hii ndi SALEDARAMA! eti Nimepita wilayani! !
Hongera ya nini soma vizuriHongera sana
Vipi kuhusu nafasi za jkt sishaisha?
92 KJBado zipo mkuu kwani unataka uende kikosi gani?
821KJ
822KJ
824KJ
832KJ
Pia unataka uanze na posho ya sh. ngapi?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bado zipo mkuu kwani unataka uende kikosi gani?
821KJ
822KJ
824KJ
832KJ
Pia unataka uanze na posho ya sh. ngapi?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mchorazombie nipigie kakaNamshukuru sana mungu nimetupiwa 842 kj mlale-songea
Hongera sana mkuuNamshukuru sana mungu nimetupiwa 842 kj mlale-songea
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mungu mkubwa nimepata fomu ya kununua baba kantuma nmetupwa 920 jkt kibaha Mlandiz
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mungu mkubwa nimepata fomu ya kununua baba kantuma nmetupwa 920 jkt kibaha Mlandiz