Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

Jamani Jkt mwaka huu fainali, sijui tutakaa home mpaka tupate mimba ndio watuite [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Unaenda kikosi gani Serengeti?Nataka nikupe kitengo ule shumbwela ila minazi usawa wa kombania itahusika kidogo

Wa morali

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Tulopangiwa 842 kj mlale songea tutaftane kwa watsap bac,,tuwe tunabadilishana mawazo
 
Back
Top Bottom