Recent content by dizo

  1. D

    Hembu Mnukuu GodBless Lema Hapa!

    Dah! Mchizi ana speach kama za bob marle.
  2. D

    Wanzibari Someni Hapa..

    Mungu ibariki Tanzania ipate muafaka juu ya muungano uliopo na wananchi wa pande zote mbili wanufaike na muungano huo Amen.
  3. D

    Ole-Sendeka atimuliwa kikaoni na wananchi!!

    Da! bonge la noma! mchizi tulizani mpiganaji kumbe boya tu.
  4. D

    Utaratibu upi unafaa kufuatwa wakati wa kumtoa binti usichana wake?

    Usipasue kichwa kaka mabiti wenyewe wanazaliwa wameshapoteza ubikira.
  5. D

    Mwanahalisi fanya yafuatayo

    Kweli mchizi Dhaifu analihanya mpaka MwanaHALISI?
  6. D

    Waziri Balozi Kagasheki afanya kweli

    Kila siku majanga ya wizi wa mamillions wa Tz kimyaaaaaa maskini ya Mungu.
  7. D

    Spika Makinda ang’ang’aniwa

    Wahusika wanafahamika inachotakiwa spika awataje na wanyongwe adhrani
  8. D

    CDM itaendelea kuvumilia undumira kuwili wa Zitto Kabwe mpaka lini?

    Sikuzote jitu jinga lipe kamba ya kutosha litajinyonga lenyewe
  9. D

    Thamani ya gwanda la chadema hii hapa

    kazoea kupewa uyo mpaka sigara anagongea
  10. D

    Ukombombozi wa wanywaji pombe umeribia.

    Acha kutuzingu wachina wanatuhusu nini? hapa tunazungumzia Tz.
  11. D

    "Watesaji walimhoji kama CHADEMA inahusika"

    Ukweli utafahamika Dr ikipona, Mungu bariki afya ya Dr Uli iimarike zaidi.
  12. D

    Msitu wa pande

    Wapewe Pinda na mwezake Dhaifu kama zawadi.
  13. D

    Amini usiamini, CCM ina jukumu la kutupatia Rais bora mwaka 2015...

    Acha kutuzingua izo shobo zako subiri kesho ukawaambie magamba wenzio Jangwani.
Back
Top Bottom