Msitu wa pande

Wagawe viwanja ili watu wajenge mabar huko kiwe kitovu cha burudani na kulia raha.
 
NAOMBA MUNGU WAZO LANGU LIFANYIWE KAZI
Serikali iweke mji wa kisasa kule kupunguza msongamano mjin
Kuwe na majengo marefu ambayo yatatumika kwa makazi ya watu wa vipato vyote
Kuanzia wanaomudu kupanga kachumba na sebule hadi watakaotaka vyumba vinne
Kama yale ya Polisi Barracks, Mabibo Hostel na Usalama wa Taifa ambapo pia pana maeneo makubwa kwa kuegesha magari
Eneo kubwa la Michezo na Burudani.
Mall na viduka vya mangi na mpemba na soko
Shule zote,misikiti, makanisa, hospital na huduma nyingine za kijamii Ofisi mbalimbali zinazotoa huduma muhimu kwa jamii na hata mashirika yasiyo ya kijamii yapate nafasi za maofisi huko.
Visima vya maji kwa dharula (Sipajui vizuri sijui upatikanaji wa maji)
Kituo za ZIMAMOTO, TANESCO,Polisi......
Stand kubwa ya magari ya abiria
Kwa mawazo yangu tutakua tumepunguza kwa kiasi kikubwa tatizo la makazi na msongamano mjini
 
Si tu wafanyabiashara wa madini toka MAHENGE, aliwachuna risasi hata majambazi waliopora fedha kwa wananchi kisha akazichikichia ZOTE
 
Iwe sehemu ya kuwanyongea watawala waliokula rushwa baada ya kukutwa na hatia mahakamani.
 
serekali ikawekeze huko na kuufanya mji mdogo na kujenga uwanja mkubwa wa mpira.

MUNGU wangu watu wasikae huko, yaani ardhi yote hiyo imejaa damu za watu.Kila siku usiku watakuwa wakisikia sauti za watu walio uwawa zikilia. Ukijenga Uwanja wa mpira timu zetu zitakuwa zinafungwa maana ni laana tupu. Yaani huko labda wajenge Magereza ya watu wanaoshitakiwa kwa mauaji sijui lakini. Ila hakufai kabisa full nuksi.
 
Naomba serikali iutangaze kuwa kinyongeo cha waadilifu na watetea haki ya wanyonge a.k.a KIMBARI YaTANZANIA.!
 
Hapa kijengwe kitanzi cha wala rushwa wote!!!!!!!!!!!!!, huu msitu unahistoria sana, hivi una ukubwa wa hekta ngapi??? haupumziki kutajwa, kila mwaka kuna la kuusemea!!
 
Yafanyike maombi ya kufunga na kuomba, ili kila mfuasi wa dhaifu au yeyote yule atakaye ingia msitu ule kwa nia ya kuua roho isiyo na hatia yeye awe wa kwanza kukauka kwa kupigwa na radi pale pale kama Sauli.

Wote tuseme amina.
 
Iwe sehemu ya kuwanyongea watawala waliokula rushwa baada ya kukutwa na hatia mahakamani.

Big up ! Sio kwa wasema kweli...... Ooohhh wajomba wa Mahenge, RIP, we love you. Dr Ulimboka, Get Well Soon.
Mungu atawaadhibu waliohusika kwa vitebdo na hata kwa hoja, waraadhibiwa hapa Duniani na mbinguni.
Wanafikiri Madaraka ndio kila kitu, wajiulize waliowatangulia mbele za haki, hawajaacha yote Duniani ?
 
Msitu wa pande ni chaka kubwa la kihalifu na watu wetu wengi wamepotelea mule,sasa ni wajibu wa serikali kubadilisha matumizi ya huo msitu, :A S cry: kama serikali wamekataza mashamba pori mjini kwa nini waache huo msitu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom