Wanzibari Someni Hapa..

Mtoboasiri

JF-Expert Member
Aug 6, 2009
5,101
1,946
Sheria za kimataifa zinatambua mchango wa mito kwenye ustawi wa bahari ili kugawa eneo la ziada la bahari (rejea presentation ya Prof Tibaijuka UN ambayo kina Jussa waliitolea povu). Sasa Zanzibar itatoa utetezi kwa mto upi ilio nao?
Tujadili bila jazba wala matusi ndugu zangu kina Barubaru et al!
 
sheria za kimataifa zinatambua mchango wa mito kwenye ustawi wa bahari ili kugawa eneo la ziada la bahari (rejea presentation ya prof tibaijuka un ambayo kina jussa waliitolea povu). Sasa zanzibar itatoa utetezi kwa mto upi ilio nao?
Tujadili bila jazba wala matusi ndugu zangu kina barubaru et al!

tanganyika imeanza kagera na kuishia mtwara, ni eneo kubwa. Jee halikutosheni? Zanzibar ni eneo dogo pia mnalitaka
 
tanganyika imeanza kagera na kuishia mtwara, ni eneo kubwa. Jee halikutosheni? Zanzibar ni eneo dogo pia mnalitaka

Hatuhitaji (at least mimi najua kuwa Tanganyika haihitaji hata inchi moja ya Zanzibar), ila nimekuwa curious kutokana na reaction baada ya Prof Tibaijuka kufanya presentation UN).
 
Ushawahi kuogelea katika pwani ya zanzibar haswa haswa sehemu za mjini?? Wataalam uku zenji kuna sehemu wanasema maji ya baridi na ni matamu tu, mto wa kwenye bahari na wenyewe wanajua wapi upo na ni jinsi gani maji yanavovuta.

Subiri tuipate nchi yetu kisha mtatafuta apo pakuongezewa eneo! Mimi kama mzanzibari nasema kwa vile tumekubali kuolewa hatunabudi kulala uchi tu, lakini tukishapata nchi yetu, kama walivo watanganyoka kwa majigambo mtatafuta pa kupitisha meli zinazokuja kwenu kutoka nje! Mkubali ku negotiate ama kuzifisha cost ya usafiri. Kwani nyerere mlimuona **** alipounganisha izi nchi?
 
Nendeni Malawi mkadai hilo ziwa kama ni wanaume kweli, msiwaonee Zanzibar na kuwatishatisha, wameshakwambieni hawataki muungano hawa jamaa au hamuelewi Watanganyika?????????? Hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii...!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Hivi huko Zanzibar hamna JF yenu hadi mjazane kwenye JF yetu ya Bara?
 
Mungu ibariki Tanzania ipate muafaka juu ya muungano uliopo na wananchi wa pande zote mbili wanufaike na muungano huo Amen.
 
Ushawahi kuogelea katika pwani ya zanzibar haswa haswa sehemu za mjini?? Wataalam uku zenji kuna sehemu wanasema maji ya baridi na ni matamu tu, mto wa kwenye bahari na wenyewe wanajua wapi upo na ni jinsi gani maji yanavovuta.

Subiri tuipate nchi yetu kisha mtatafuta apo pakuongezewa eneo! Mimi kama mzanzibari nasema kwa vile tumekubali kuolewa hatunabudi kulala uchi tu, lakini tukishapata nchi yetu, kama walivo watanganyoka kwa majigambo mtatafuta pa kupitisha meli zinazokuja kwenu kutoka nje! Mkubali ku negotiate ama kuzifisha cost ya usafiri. Kwani nyerere mlimuona **** alipounganisha izi nchi?

Hawa jamaa kama kweli hawautaki muungano kwa nini hawamwagi ugali tuone?????
Hivi hawaelewi kuwa strategic business partner ni bara na ndiyo maana huku bara kwa sababu ya muungano hata gharama za bandari ziko higher ili kuiprotect unguja kibiashara. Huku bara wakipunguza sana gharama za bandari na wakiongeza gharama ya mizigo toka zanzibar biashara gani watafanya??? sijui ferry boats za mizigo toka dar/mombasa to/ro zbar. WAMJWAGE UGALI SIYO UTANI UTANI
 
eacart180808.jpg .. Habari ndio hiyo
 
Hivi huko Zanzibar hamna JF yenu hadi mjazane kwenye JF yetu ya Bara?
muungano huu una matatizo sana WATZ wanawabagua WAZENJ na kusababisha wazenj kushindwa kuanzisha JF yao.serikali lazima ifanyiekazi hili suala, vinginevyo tutaandamana mpaka ikulu, haiwezekani bara wawe jf sie tusiwe nayo kwani wao wametuzidi nini. hizi zitakuwa ni hujuma tu za wabara lazima kupambana nao
 
Back
Top Bottom