Thamani ya gwanda la chadema hii hapa

Thamani ya gwanda la chadema hii hapa

Kwani bei si inatokana na gharama za kutengeneza. I believe yapo ya quality mbalimbali. Ukishindwa kabisa ongea deal na mgambo mstaafu, anaweza kukupatia kwa bei nafuu.
 
Oyaah!CDM hawafanyi biashara ya kuuza magwanda ,pale unachangia chama lile gwanda kama risiti ya mchango wako bro,hata nyie gambaz si mnauza sura ya mkulu kwa milioni kadhaa kwa mnada wakati gharama halisi yakuifotoa haizidi miambili katika huu mpango wa sasa wa digitali camera?
Hebu tupishe turambe khaki za ukweli bwana! isitoshe kwa wanaume viatu tu vya kawaida vya kueleweka vinatembea humo humo kwenye mia moja elfu ,shati wasi wasi mpaka buku 30 ,suruali ovyo mpaka 50000 sasa wewe unaona maumivu kwenye PURE COTTON,BIG BRAND NAME -CDM kuilipia 75elfu? be real and get life mazee!
 
Katika hali ambayo sikuwa najua lakini leo hii baada ya viongozi wa BAVICHA kuwasili hapa kwetu Mpanda Mjini nilivutiwa sana na Gwanda.Sikuishia kulitazama bali ilinibidi niulizie namna ya kulipata ndipo niliwauliza vijana waliokuwa wanayatembeza pale mkutanoni lakini nilistushwa na thamani ya lile Gwanda kumbe huwezi kulipata bila kuwa na TSHS 75,000/= sabini na tano elfu sasa nikajiuliza inakuwaje wanasema WaTZ tumepigika halafu Gwanda liuzwe kwa bei kubwa kiasi hiki.Kweli hapo kuna dhamira ya kututoa kwenye umasikini?Muungwana vitendo!!!!!

Mlimani city laki 3,unasha 75
 
Hii nayo ni mada?halafu mwanaume kulalamika lalamika bei haipendezi kwani ni lazima ununue,mbona wengi tu wanashona magwanda mitaani tu na si lazima kununua hapo mkutanoni,mfano skafu za cdm ukikuta mtu amefuma vizuri anauza town kwa bei flan bado utarudi kuilaum cdm,yani magamba yanatafuta mbinu tu za kuchafua cdm na mbaya zaidi unaaibika maana mmerudi kwenye mbinu za karne ya 17
 
Kwa nini usishoneshe ya khaki bei rahisi.
 
Nenda magambazi ukapewew bureeeeee sisi walipakodi tulishakulipia kwani jeans unanunua kiasi gani acha umbwiga
 
Katika hali ambayo sikuwa najua lakini leo hii baada ya viongozi wa BAVICHA kuwasili hapa kwetu Mpanda Mjini nilivutiwa sana na Gwanda.Sikuishia kulitazama bali ilinibidi niulizie namna ya kulipata ndipo niliwauliza vijana waliokuwa wanayatembeza pale mkutanoni lakini nilistushwa na thamani ya lile Gwanda kumbe huwezi kulipata bila kuwa na TSHS 75,000/= sabini na tano elfu sasa nikajiuliza inakuwaje wanasema WaTZ tumepigika halafu Gwanda liuzwe kwa bei kubwa kiasi hiki.Kweli hapo kuna dhamira ya kututoa kwenye umasikini?Muungwana vitendo!!!!!

Kwani Gwanda ni dawa, siyo lazima kulinunua kwa mtu unaweza kulishona......, Usiwe mvivu wa kufikiria mwishowe utasema kadi ya CDM ni Mil.1.....
 
Back
Top Bottom