Ole-Sendeka atimuliwa kikaoni na wananchi!!

Ole-Sendeka atimuliwa kikaoni na wananchi!!

Kifo cha nyani ccm miti yote inateleza. Wezi na wanafiki hukumu yao ni moja
 
Hapana rafiki, hii mofano unatoa haiko mzuri kabisa, kwani yeye haijaona kuwa hii wasiri ya mambo ya kuwasiliana imekuwa na ngosi kama ya ile mnyama nalukaluka juu ya mti na kula matunda?!, hapana kabisa toa mifano ya namna hii, haipendesi kabisa.

Mkuu nimecheka sana kwa hii post yako
 
Huyu mzee akija kosa kuwa Mbunge atapata attack mbaya sana ya kiafya!
 
Wamasai wa sasa sio wazamani,wamejanjaruka.

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Ole Sendeka tafadhali anza kufungasha jimboni kwako. Tundu Lissu ameeneza wadudu wanaoitwa Nyenyere jimboni mwako. Tatizo la hawa wadudu usipowakimbia hukupanda na wanapofika katikati miguu inapoungana wanapenda kung'ata ile ngozi laini sana iliyofunika kengele. Hapo hata kama uko sokoni wallahi lazima uvue nguo. Sasa kama hutaki kukimbia basi subiri utavua nguo hadharani siku moja.
 
Da! bonge la noma! mchizi tulizani mpiganaji kumbe boya tu.
 
kwa unafiki wake lazima atakuwa mbunge wa ccm na kama si hivyo atakuwa udp kwani hata viongozi wao wakuu ni vigeugeu kama yeye,
jamaa ni wa Chama Cha Magamba..google utampata!!!
 
masai kama mwizi meeen, ole sendeka machafu mabayaaa... chezea tanzania ya kizazi hiki weweee??
 
Ole Millya yule aliyepigwa kibao ajipange kuchukua jimbo
 
uzushi huu.hizi taarifa za kutunga zitaendelea kuwapa matumaini hewa mpaka lini?????
 
Back
Top Bottom