Recent content by DISOLN

  1. D

    Baada ya kimya kingi hatimae Abood Bus Service aleta bus mpya!

    Nazionaga nyingi zimepaki kwenye njia ya kuelekea kwetu Mbezi Salasala,bado hazijaanza kutumika
  2. D

    Kuvaa saa enzi hizi za dijitali ni mbwembwe au usharobaro?

    Ni sawa na wale jamaa ambao bado wanatumiana salam redioni wakati namba za simu za hao wanaowatumia salam wanazo
  3. D

    DSTV yazindua kifurushi cha 17000, nafuu mno

    Nimekupata vyema mkuu asante umejibu swali langu
  4. D

    Mh Sitta kumdhalilisha mwanasehria wa Zanzibar ni kuwadhalilisha wazanzibar, amkeni sasa

    Mi sikuizi nikionaga thread imeandikwa na pdidy huwa sijisumbui kuisoma macho yangu yasije pata matege bure
  5. D

    Wanajeshi, polisi watwangana risasi

    Nimesoma gazeti moja inasemekana majeruhi walikuwa 12 kwenye hiyo battle,kati ya hao kuna Police,Wanajeshi na Raia.Wote waliruhusiwa kutoka hospital kasoro wanajeshi wawili waliojeruhiwa vibaya kwa risasi
  6. D

    Hongera KBC: Wasanii Tanzania bure kabisa

    wakenya hawana lolote,wabongo ndo maana hatuendelei coz tunapenda sana kuponda vyetu na kusifia vya wenzetu,mi naangaliaga movie na tamthilia za Kenya na Tanzania kupitia Africa Magic Swahili,wakenya ndo ovyo kabisa bora wabongo
  7. D

    Wikipedia page ya EAC imeandikwa kwa manufaa ya KENYA!

    Haya ndo mambo ya kuandika sasa sio kilasiku CCM na UKAWA tu,safi sana mtoa mada
  8. D

    DSTV yazindua kifurushi cha 17000, nafuu mno

    Hiyo package ya kuonyesha channel 2 za supersport ni sh. ngapi?
  9. D

    Bongo hip hop artist top 10

    Kwa hawa wa kizaz kipya list yangu hii; 1. Nikki Mbishi 2. Nikki II 3. One 4. Stereo 5. Nash MC 6. Stamina 7. Young Killer 8. P ze MC 9. Songa 10. Godzilla/Izzo B
  10. D

    Bongo hip hop artist top 10

    lol hadi Bou Nako?
  11. D

    Sinunui tena simu ya Huawei

    wewe Heloo ni miongoni mwa wale wabeba mabegi wake?
  12. D

    CAMFED Tanzania

    Kwahiyo ikikuhusu ndo lazima uitwe,hivi unadhan unaapply pekeako?
  13. D

    Wema Sepetu: Wanaoniponda wengi wao wanatumia Tecno na Huawei

    Mi nimelog in humu na tecno, napita tu!
  14. D

    Sugu na Jide ni wasanii wasioguswa, ukiwagusa umepotea kimoja, pitia hapa ushuhudie

    Hao wote ni malegend katika mziki wa bongo but hoja yako haina ukweli wowote, wasanii wengi tu wanakuja na kupotea usitake kuniambia kwamba wote waliopotea sababu ni Sugu na Jide, hell nooooo...... Jipange tena!
  15. D

    Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

    Nachojua mishahara yao (police na magereza) ni sawa ingawa sijui ni sh. ngapi, wazazi wangu askari Magereza ila sijawahi kuwauliza wanalipwaje
Back
Top Bottom