MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 33,568
- 53,583
Maneno mapya ya kiswahili ya matumizi ya computer wameyatengeneza wao si jui ni kikikuyu , sijui ni kijaluo? mfano ukitaka kuingia kwenye face book kwa kiswakili pas word wanaita NYWILA sijui wamepatia wapi hawa watu
Kiswahili si cha mama ya yeyote hapa. Kimebuniwa kwa kuchanganya maneno kutoka kwa lugha zingine, wakati mnaendelea na uvivu wenu sisi tunakiboresha.